Recent content by Mao ze dong

  1. Mao ze dong

    Jikumbushe mambo haya kila siku, mwezi na mwaka

    Ukikopa pesa kutoka kwa mtu, zirudishe, hata kabla hajaomba. Na ukiwa hujazipata bado mtafute umueleze na kuomba akupe muda kidogo. Hii hukujengea heshima ya kusaidika wakati mwingine Kuna tofauti kubwa sana kati ya marafiki na watu mnao faamiana. Rafiki unamuona nyakati zote na zaidi kipindi...
  2. Mao ze dong

    Nimebadilisha mke lakini huu mwaka nitafukuza tena

    Mwanamke angalia na siku anazonuna ni zipi, kama ni tarehe zile zile najua unaelewa yupo kwenye P so unamvumilia tu. Kama ni tabia yake ya kununa nuna bila mpangilio maalum wala sababu , we akinuna usimwambie kitu fanya mambo yako , Chelewa kurudi home kula then lala asubuhi sepa. Usimpe...
  3. Mao ze dong

    Ficha aibu za watu

    Inategemea na siri. Unakutana na mke wa mshkaji anajiuza Lodge au kwenye mitandao ni bora kuokoa maisha ya mwana. Mwambie ukweli ila maamuzi mwachuie yeye ila usiwaambie watu wengine. Kuna vitu pia sio kuficha siri bali inakua ni unafki. Unajua kitu ambacho ni kibaya na husemi na kinaendelea...
  4. Mao ze dong

    Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Hao wazazi wake manasemaga kuhusu afya zao na za mtoto wao? Wanakuambia wewe au wanaambia watu mtaani? Staki kukujaji ila naona unahali flani ya kujisikia na uongo uongo ivi. Tunaenda mahotelini unatumia kijiko kimetumiwa na muadhirika na hata kuoshwa labda hakijaoshwa vzr, tunaenda kula sehemu...
  5. Mao ze dong

    Bata la pasaka kesho

    The hub Arusha
  6. Mao ze dong

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Kiufupi mtoa mada ana maamzi ambayo amesha yachukua na sidhani kama ushauri utamsaidia maana tayari kuna vitu anaamini kuwa vipo sahihi kwa mtazamo wake. Nachoweza kumshauri just fata what your instincts is telling you brother . Whatever the consequences you are responsible with your own decision.
  7. Mao ze dong

    Msaada wa kisaikolojia unahitajika

    Bro kwenye haya maisha usimwamini mtu yoyote itakusaidia sana. Ishi na watu wote kwa upendo na ikitokea kuna mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako mfungulie mlango tu ila kamwe usimfungulie mlango akitaka kurudi ila msamehe tu kibinadamu hata urafiki usimpe iyo chance. Hii sio kwa wenzi...
  8. Mao ze dong

    Msaada nifanye nini niwe na amani?

    Mkuu pole sana ila kabla ya kuacha kazi endelea kutafta kazi ukiwa hapo hapo. Ukipata kazi aga vizur ondoka . Mimi nilisha fanyiwa figisu na jamaa kwenye idara ila nikavumulia na nikatafta kazi nikapata kampuni kubwa zaidi. Kwenye ile kampuni baada ya miez 9 nikapewa idara ya kusimamia na...
  9. Mao ze dong

    Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

    Wapo wengi tu. Mwanaume ambaye ni introvert na hapendi sana kujichanganya na hana marafiki wengi sana. Mara nyingi hupendelea kukaa pekeyao home weekend na hupenda kuwa bize na mambo yao popotw walipo. Mtu wa hivi mnasemaga sio romantic ila ndo ivyo akisha kupenda na mkaendana huwa hawez...
  10. Mao ze dong

    Najitahidi kumnyandua ila nikimaliza ananiambia bado hajatosheka, naogopa ipo siku nitaua kabisa!

    Bro acha kushindana na K . Ayo maneno ameanza kukuambia lini? Kama ni siku za karibuni kuna namna anakuandaa kisaijolojia.
  11. Mao ze dong

    Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Hiyo wanaweka kama alama ukiona tu ujiongeze, una shingapi? Hakuna kinacho shindikana ni pochi yako
  12. Mao ze dong

    Nimefukuzwa kazi, nimetengwa na Ndugu, jamaa na marafiki!

    Ichi ni kipindi cha kujifunza sana kuhusu watu. Kazi utapata na mambo yatakaa sawa, na yakikaa sawa just be a fucking wolf usiwe na mazoea na watu mind your business. Juzi nilikua na shida na ela ndogo tu nikiwa safar kama 200k maana sikua na kadi karibu na sina sim banking nikawacheki washkaji...
  13. Mao ze dong

    Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Kuna ukweli ulojificha. Mtu anatorokq kwa kuruka gets then anaangukia kichwa ? - Kwani mlinzi siku zote si anakaa getini? Iweje mtu apande gets bila kusikika? - Geti siku zote lipo upande wa mbele wa nyumba ambao pia kuna kuwa na taa na wapita njia mtu hawez chagua kurukia getini bali...
  14. Mao ze dong

    Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

    Kwa watu wenye akili hii comment inatosha kujua kama kilicho andikwa hapa ni kweli au si kweli
Back
Top Bottom