Recent content by manyovu 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Manyovu mkoa wa Kigoma

    Kijana bado hujaijua vizuri Manyovu unachanganya mambo
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

    Anapenda ngawila kama unaweka ngawila kwenye pochi kaa mbali
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

    Hugo witnessj namfahamu ni mzuri ila ana matatizo yake
  4. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Ww hujielewi mpaka kufika hapo alipofika inamaana vyombo vya usalama vilishamchunguza na vikajidhisha, Kwa taarifa anatoka wilaya ya kasulu kata ya mnanila kijijini cha Nyakimwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Wachaga nanyie pumzikeni mmeiba sana sana awamu zilizopita, ngoja na wengi wajaribu nyinyi ndo mmetufikisha hapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Hivi hili jukwaa limegeuka kuwa kijiwe cha majungu? Mijitu imeamua kumwaga uhalo kuongea vitu wasivyovijua, halafu Kwa kuwajulisha sio kila mtu mwenye asili ya kitutsi ni mnyarwanda, kuna watutsi wa Tanzania, Kenya, uganda, rwanda, Burundi, Kwa kifupi watutsi no wahamit sawa na wamasai
  7. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Bahati ya mwenzio..... Hahahaaa
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

    Habari mrembo, mm karibu vigezo vyote Nina, naomba masiliano yako ya simu ili tuweze kuwasiliana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndiyo maana Mkulu huwa anawapigiaga simu Clouds na kuwapongeza

    Issue inakuwa hivi anatafutwa MTU ambaye anatoa dau kubwa kupita wote halafu akishamaliza anaingia mitini ndio baadaye unakuja yule mwenye mzigo Kwa bei waliyopanga na Dalali wa huo mnada
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema neno

    Unategemeana na kichwa cha mwanamke kuna wanawake wanahela xao na wanaadabu Kwa waume zao na washauri wazuri tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

    Yangi bovu mbezi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

    Jitahidi kila siku uwe unabembea angalau km 5 kila siku kama uko d Jitahidi angalau kila siku uwe unatebembea Kwa miguu angalau km tano mfano kama uko dar tembea kutoka ubungo mpaka yangu bovu mbezi, ndani ya week 2 utaona matokeo
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvulana wa miaka 17, afanyiwa upasuaji ili kupunguza uume wake

    Kwema yaani natamani siku moja nikuone maana umezidi vituko
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvulana wa miaka 17, afanyiwa upasuaji ili kupunguza uume wake

    Hivi ww rubi, yaani natamani siku moja nimekuona, yaani kila kitu ni utani
Back
Top Bottom