Ni wiki ya Pili sasa hadi Leo Tarehe 13/02/2021 vifusi vilivyowekwa katika barabara ya Bonyokwa ya Segerea kuelekea Bonyokwa kwa Kichwa havijasawazishwa.
Hii imekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hii kwani inasababisha usumbufu mkubwa wa magari kupishana na inaweza kusababisha ajali hasa...
Inasemekana alikuwa na kesi mbaya na ili aimalize aka act kufa na hata hakuagwa kwa Mara ya mwisho.
Na ndo maana alitumia jeneza ili watu wasipate nafasi ya kuleta umbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sitoi maoni yangu kwanza mpaka nitakapoona nakala ya mwenendo na hukumu.Mleta maada tafadhali tuwekee hapa ili tutoe maoni ya kisheria vinginevyo hizo bado ni tetesi. Kwa jamiiforums ni aibu tukijadili tetesi kwa mambo ambayo yameshatokea na siyo yanatarajiwa kutokea. Huu ni ukurasa makini...
polisi wa wilaya ya karatu wapatao 20 hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili mpaka leo.yaani mishahara yao ya mwezi novemba na desemba 2012 imekuwa ikipigwa danadana kwa uzembe wa wahasibu katika jeshi la polisi ngazi ya mkoa na makao makuu.je raia tutapona na rushwa tukikutana na hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.