Recent content by manyau

  1. M

    tujuzane,

    katika maisha yangu napendelea sana kuja kufanya hz biashara ya bar,loagy na kumbi za harusi......kuanzisha biashara kubwa ambayo itakuwa imevibeba hv vitu vyote kwa pamoja.NATAKA NIJUE CHANGAMOTO ZAKE KWENYE HII AINA YA BIASHARA???.. NIMESOMEA IT (INFORMATION TECHNOLOGY) ILA IM INTEREST NA HII...
  2. M

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    ni graduet wa level gan sasa???????? advance leve,certificate,diploma,au degree???
  3. M

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    serikali imeweka vipingamiz kwa TBC kuonesha bunge live,kwa sababu ya kiuchumi, nk wazijuazo wenyewe....nilitaka kujua vip vyombo binafs kama ITV,AZAM TV,...NK HV HAVITAONESHA?? AU NAVYO VILIKUWA VINAJIUNGA NA TBC??? KUPATA HABAR ZA BUNGE??..INAWEZEKANA KELELE ZA UPINZAN ZIKAGOTA THEN WHAT...
  4. M

    Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

    Mmmmm htar a see Ndio nni hii wadau? Waandish kwann wafukuzwe nsan
  5. M

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Inawezekana ikawa inafaida na hasara Ila faida no nyingi zaid tunaitaji bunge lioneshwe live bana ,mimi nilikuwa najifunza mengi sana kutoka mbungen jinsi ya kutetea jambo,jinsi ya kuchambua mambo najifunzaga mengi kutoka kwa wale watu upinzan pigianene live iwepo
Back
Top Bottom