Recent content by manyata

  1. M

    Krismas imeniachia ugonjwa wa zinaa

    Acha kumdanganya mwenzio,kwa mwanaume hakawii kuona gono ni baada ya siku moja tu anaanza kusikia washawasha.kina dada ndo huchukua muda kujua.
  2. M

    Tanzia: Mmiliki wa Lina's Night Club Bukoba afariki dunia

    Mapenzi kwenye gari?!! yaleyale ya Padri KIMARIO kule Changanyikeni!! Mungu anawaumbua wanaovunja amri ya sita! R.I.P both FR.KIMARIO AND LEONARD MTENSA
  3. M

    Prof Maghembe asema urais si mashindano ya urembo

    wanadhani ni kama Rais wa CWT au Serikali ya wanafunzi pale Chuo Kikuu!! sheet!
  4. M

    Mgogoro IPTL kuwatoa kafara Mawaziri

    Huyu Mhariri na Mwandishi wa habari hii sijui nao walivuta Ngapi?!!! wizi mtupu.
  5. M

    Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

    Kwani mkuu wewe hujui pale kuna nini? 0713 ndo storry ya mujini !!!
  6. M

    Rais Kikwete aenda China akiwalilia Lupogo, Barongo

    wewe ni mjinga kuliko watu wote nchi hii!!!! rudi shuleni tena kama umemaliza!
  7. M

    Wanausalama wachunguzeni wafanyakazi wa mabenki

    teh teh teh chezea team Mangi wewe!!
  8. M

    Wanausalama wachunguzeni wafanyakazi wa mabenki

    Mawasiliano yabaki kwenye land line za TTCL tu incase of any fammily issue.
  9. M

    Wanausalama wachunguzeni wafanyakazi wa mabenki

    Wenye mabenki washauriwe kuwaagiza wafanyakazi wao waache simu zao katika chumba maalum wanapoingia asubuhi na wakabidhiwe simu zao wanapotoka jioni baada ya kazi,ambae hataki sharti hilo achape lapa atafute kazi kwingine!
  10. M

    Hivi kwanini wafanyakazi wa star tv hawadumu kazini?

    Nakuambia ni SHIDA!! Yaani kampuni inaendeshwa kienyeji zaidi, wakurugenzi wake shule hakuna,wengine wamefoji vyeti ndo maana walifukuzwa uwaziri na kunyimwa ubunge!! these Ntuzu bwana ni SHIDAAAA!!!!!! yaani shule Makoye kabisa! Elimu yao ni DARASA LA SABA a.k.a SINGLE DIGIT!!!
  11. M

    Sina hamu na ndoa tena.

    Huyo ni wa kumuolea mke mwingine,wivu utaisha!! tena fanya hivyo haraka.
  12. M

    Sina hamu na ndoa tena.

    Huyo ni wa kumuolea mke mwingine,wivu utaisha!! tena fanya hivyo haraka.
  13. M

    House girl amchoma kisu bosi wake na kumuua!

    Aende kwenye vyombo vya sheria wkt boss wake ndo alikuwa huko?! angepona kweli.
Back
Top Bottom