Recent content by manyasn

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    2WD, nipo nje ya dar, Mara!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ndo nataka nisigombane na mtu, huku ililetwa ya rav 4, haifai.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta gearbox ya Ipsum model TA ACM21W ya 2002, iwe nzima na siyo ya kujaribujaribu, mwenye nayo tafadhal PM, thanx!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ni vile huwa mara nyingi hatuhesabu gharama za vocha, nadhan ishapita miln! Usumbufu kweli, kupata gearbox nzima ni shida mno
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante mkuu, ndo natafuta utatuzi wa tatizo niiweke vizuri kabla haijauzwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba msaada, gari Ipsum model TA ACM21W ya 2002 inasumbua kuingiza gear, ukiwasha ukiweka drive kisha ukakanyaga mafuta ule mshale wa rpm unapanda mpaka mwisho lkn gari haitembei, imebadilishwa gearbox, ikakaa sawa kwa lisaa limoja, then imeasumbua tena kwa tatizo hilohilo, naomba mwenye ujuz...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri hawawezi leta Mabadiliko- Polycarp Kadinal Pengo

    Lazma awapambe maskini leo, anawaambia nyie ndo wakuleta mabadiliko, wakat Mungu wetu ndo owner wa kila kitu. Mungu ndo Tajiri, huyu mtu anakuja kuongea nn sasa, wacha awapambe maskini wampe hela nyingi ili akazitumbue vizuri!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri hawawezi leta Mabadiliko- Polycarp Kadinal Pengo

    Afunge mdomo asubiri hela za maskini azitapanye!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tigo kuweni makini na Tigopesa yenu

    Onyo: Usijaribu kutuma fedha kwenda benki (akaunti) kwa kutumia tigopesa! Utajutaa!!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tigo kuweni makini na Tigopesa yenu

    Tahadhari, usije ukatuma hela kutokea tigopesa kwenda benki, UTAJUTAAA! USIJARIBU KAMWEEEEEEEE!!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Dharura: Wafanyakazi wa TRA wameamriwa kutoa taarifa za madeni na mali zao

    Watumishi wakanyagwe, wanasiasa na wafanya biashara wadumu milele!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa anakwepa kodi?

    Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa Lako, acha blaahblaah!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa waraka wa Utumishi wa Umma wa namna wapinzani walivyopotosha watanzania

    Etiii? Mambo mengine bora kunyamaza, wewe ndo umeanzisha hii mada? Aiseee!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU imtafute na alietoa rushwa kwa trafiki aliefukuzwa

    Sheria ichukue mkondo wake!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maintainance kwa mashine inayoleta hasara! Cost sharing iendane na hali halisi

    Watanzania wameharibika aisee, daaah! Seriously? MaV8 yote hayo hayatoshi kuwa na CT Scan?
Back
Top Bottom