The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Hili dhehebu limepoteza uelekeo.
Uelekeo wa nini?
Hili dhehebu limepoteza uelekeo.
Mada ni utajiri na mabadiliko. Kwenye kampeni tuliambiwa hakuna mabadiliko bila lowasa na tukaelekezwa kuzungusha mikono tukiimba lowasa, huwezi kuona uhusiano?!Lowasa anausika vipi na mada?!embu jitafakarii na ujitambuee.
Hili dhehebu limepoteza uelekeo.
Tatizo hamlijui kanisa Katoliki then mnakurupuka tu.
Hili dhehebu limepoteza uelekeo.
Linaloruhusu watoto walaawitiwe na hatua hazichukuliwi si miongoni mwa mafundisho ya bwana yesuHili sio dhehebu,hili ndilo kanisa hasa la Bwana Yesu Kristo.Jifunze historia ya Kanisa
Mtaji wa tajiri ni nguvu za maskiniMatajiri wanaleta mabadiliko gani?
Kivipi labdaHili dhehebu limepoteza uelekeo.
Ndo yanakopatikana maendeleo kupitia unyonyaji, anafaidika tajiri na si jamii!Mtaji wa tajiri ni nguvu za maskini