Recent content by Manyanda M

  1. Manyanda M

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Umeongea vema sana! Sent from my HTC One A9 using JamiiForums mobile app
  2. Manyanda M

    PAYE Calculator - Excel

    Ndugu wanajamvi, Naomba kwa yeyote mwenye formula (Kanunu) ya ukokotoaji wa PAYE Tanzania Bara inayozingatia madaraja mapya yanayoanza Julai Mosi 2016. Ahsante
  3. Manyanda M

    Natafuta kazi receptionist-Arusha

    Send ur Cv to info@ec.co.tz indicate your region and position in the Subject line.
  4. Manyanda M

    Career Opportunities World Vision Tanzania-192 Positions:

    Mbona nimesikia hizi nafasi zina watu tayari, wametangaza kwa ajili ya kufanya zoezi la "restructing" ndani ya taasisi.
  5. Manyanda M

    Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

    Hata kama una PHD ya Management kama huna uzoefu wa kazi ni bora ukatafuta nafasi ndogo ndogo kwanza kabla ya kufikiria kazi inayoendana na taaluma yako, huu ndio ukweli wa mambo, Kukimbilia Masters wakati huna experience ya hata miaka miwili ni kutengeneza tatizo.
  6. Manyanda M

    mabomu yatumika kutawanya mandamano ya CUF

    C*F wamekariri kuwa kila jambo linahitaji maandamano, vyama mbadala vioneshe kuwa vimekomaa na vinaweza kuchukua nafasi ya kuongoza nchi, waache maamuzi ya kukurupuka kwa kutaka "cheap popularity"
Back
Top Bottom