Manyanda M
Member
- Jan 16, 2010
- 7
- 3
Ndugu wanajamvi,
Naomba kwa yeyote mwenye formula (Kanunu) ya ukokotoaji wa PAYE Tanzania Bara inayozingatia madaraja mapya yanayoanza Julai Mosi 2016.
Ahsante