Recent content by manyamamazula

  1. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Wewe unaona sawa tafiti ya watu kumi na tano kila wilaya? Tena ya mara moja bila kurudiwa Mara kadhaa. Katika watu milioni zaidi ya 20 maamuzi yatolewe na watu chini ya milion moja?Elewa kwanza maana ya tafiti.
  2. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    Unajitekenya mwenyewe
  3. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    Hayo maoni ni yako kaka. Usipokuwa mjasili bac utatumiwa ata na mfuko
  4. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Hii hata Lowassa anacheza

    Hatukatai inamaana wiz, uongo, na udhalimu mbele kwa mbele
  5. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Tusiwe wanafiki wa kumzungumza mtu baada ya kuhama ccm
  6. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Hivi jamani tumekosa ya kuzungumza ktk kampeni zetu. Kila kona lowasa. Haha haaaaa lowasa for change. Bye
  7. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

    Usiongee kama hauna kichwa
  8. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

    Kama hauna cha kuongea kaa kimnya na wenzako wanaosubilia kipigia kura chama konachotoa ahadi kila wakati wa kampeni hakitimizi.
  9. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Kama haikuhusu kaa kimnya tuachie wanamabadiliko wenyewe
  10. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Usilopoke kama hukuelewa anasema nini!
  11. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya UKAWA Geita

    Mmmmh! Na chakwangu je? Ahaaa kipo!
  12. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kuzuia gharika la UKAWA

    Mbele kwa mbele lowasa. Na tunapiga tatu bila. Rais,wabunge na madiwani
  13. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kuzuia gharika la UKAWA

    Acha yafe na udhalimu wao
  14. manyamamazula

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya UKAWA

    Sawa tumeondoa ushabiki lakini toka ufikie hapo ulipo ccm kakufanyia nini? Ahadi ngap kazitaja kwa miaka tofauti na upi uliokamilika kwa asilimia zote? Wewe ni kijana badilika bac. Hata kama hujui kusoma ata PICHA huoni?
Back
Top Bottom