Recent content by manyago

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    una pepo la ngono:lock1:
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohonga hawana uwezo wa kushawishi mwanamke

    pole sana ndugu,inavyoonekana watu wamekuongea demu wako..:smile-big:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina elimu ya kidato cha nne

    mimi nimemaliza chuo 2009,sasa nimejiajiri na naendesha maisha yangu vizuri,nakushahuri kijana usisubiri kuajiriwa fursa zipo ,jiajiri mwenyewe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya uhasibu ya kujitolea

    nashukuru kwa kunipa moyo waungwana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya uhasibu ya kujitolea

    nimesoma i f m nina advance diploma ya uhasibu sijawahi fanya kazi katika field ya uhasibu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya uhasibu ya kujitolea

    Kutokana na nafasi nyingi za kazi kuwa wanahitaji mtu mwenye uzoefu,mimi nimeamua kutafuta kazi isiyokuwa na malipo ili nipate huo uzoefu katka fani ya uhasibu kwenye kampuni yeyote.
Back
Top Bottom