Poleni kama itawauma ila i just have to say it. Okay that been said...
Umeanza uhusiano na mwanaume, umemkuta anakazi yake nzuri tu. Lakini yeye kuwa na kazi isiwe sababu ya mizinga kila kukicha...
Umemkuta ana kazi, that means ana malengo yake, kama kiwanja, kujenga, gari n.k, na mshahara mara...