Recent content by mantaruma

  1. M

    Mnyika wanafunzi Ubungo wanakaa chini, mfuko wajimbo uko wapi?

    umeambiwa mnyika anatoa madawati acheni siasa za kijinga ulizeni alimashauri zinazoongozwa na ccm mbunge yeye mfuatiaji shale ngapi America michango acheni umbea
  2. M

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Wewe sio zito kabwe acha joks za kitoto muda huu sio muda wa masiara huu ni muda wa ukombozi kwa Tanzania acha comed kwenye mambo ya ukombozi
  3. M

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Yeye mwenyewe awaombe razi viongozi wa chama na wanachama wote kwa ujumla basi chama kitamsamehe lakini kama ataendelea kukaa kimya eti chama kitamwangukia basi asahau icho kitu. Chama anakipenda lakini sasa ajitoe Fahamu awaombe razi wanachama watamsamehe kwa kua yeye ni binadamu lazima awe na...
  4. M

    Kampeni ya M4C Delete CCM yatua Tabora Manispaa.

    Chadema endelea kutesa wewe ndio kimbilio la wengi kamanda mbowe kandamiza mwana wane igweeeeee
  5. M

    Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

    Huyu mwanamke hajieshimu hata kidogo wanamtumia kama mdoli na yeye karizika japo hicho kishimo umepewa bure na mungu ebu kionee uruma maana mwishoe kitakua hakina laza yoyote
  6. M

    Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

    Wewe mama umekimbia mabwana za watu kule arusha sasa umekuja huku singida sisi tutakushikisha adabu kama uliopata arusha karibu mashababi tupo kwa ajili yako arusha walikupika singida tutakupakua kotekote karibu
Back
Top Bottom