umeongea point sana mkuu mi japo siangaliagi haya ma tbccm yote lakini kwa hili si sawa. Wanatukamua sana kwann izo kodi zisituwezeshe kuona bure kama sehemu ya mchango wa serikali kwa wananchi wake
jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji ila kila napototolesha vifaranga majogoo wanatotolewa wengi kuliko matetea.
Naomba kujuzwa kama kuna tecknolojia ya kulitambua yai lenye kifaranga cha kike au cha kiume kabla ya kutotolesha.
Najua hapa wataalam wapo wengi hebu nipeni mbinu
jamani naomba mnijuze tena utofauti wa hizi zenye kabuleta na hizi ambazo sinatumia magneto sina uhakika kama nimepatia ila ipi nzuri kati ya zenye cabuleta na sizizo na cabuleta
aisee Mshomba umenifungua macho sana ishu ya spare sio tatizo safi sana ntainunua manake kuna jamaa yangu kainunua sa ametetereka kiuchumi anataka nimrudishie hela kidogo aniachie chuma hii
Jamani mimi sio mtaalamu sana wa magari, nina uzoefu kidogo tu hasa katika kuendesha ila ubora sijui ila najua majadiliano ya hapa yatasaidia kunipa picha ya kuanzia.
Kuna gari nataka kununua na details zake ziko hivi:
Make: Nissan model: datsun model
no: GA-QD21
Body type: pickup
Year...
jamani mimi sio mtaalam sana wa magari ila najua majadiliano ya hapa yatasaidia kunipa picha ya kuanzia.
Kuna ka gari nataka kukanunua na details zake ziko hivi.
Make: nissan
model: datsun
model no: . GA-QD21
body type: pickup
year of manufacture 1996
ni ya petrol, cc 2000.na reg no yake...
ulitaka iitweje hiyo shule?ukienda njombe utakuta shule inaitwa Njombe viziwi pia sa sijui hoja iko wapi. Watu wenye ulemavu wa masikio ndo jina waliolikubali kijana
thanx wakuu nimewapata vyema hapa dawa ni kuwaibukia tanesco wanibadilishie tarrif tu manake sifikishi unit sabini kwa mwezi naishi mwenyewe tu hivyo control ya umeme ni kubwa sn kwangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.