Recent content by MansaMusa

  1. M

    Kiwanja Kinauzwa Iringa Mjini.

    No upande Wa Don Bosco ndugu. Mbele kidogo zilipo ofisi mpya za Mkuu Wa wilaya.
  2. M

    Kiwanja Kinauzwa Iringa Mjini.

    Kiwanja kinauzwa Iringa Mjini. >Kipo Mawelewele Iringa mjini. >Kina ukubwa Wa 26.6m * 42m = sqm 1117.2 >Huduma za jamii zipo jirani (maji na umeme). >Hakijapimwa ila barabara za mitaa zishachongwa na kipo eneo salama. >Bei ni Tsh 11 milioni (maongezi yapo). >Ukitaka nusu yake...
  3. M

    Msaada: Tecno M6 inagoma kuzima

    Asanten kwa ushaur ngoja niirejeshe
  4. M

    Msaada: Tecno M6 inagoma kuzima

    Jamani msaada nimenunua Techno M6 dukani mpya ila option ya kurestart na kushutdown haifanyi kazi. kuzima mpaka nishedule power itajizima yenyewe. Mwenye ujuzi ama niirudishe
  5. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Upo Mugindi xul gani na idara gani.??
  6. M

    Brand new huawei ascend y530 for sale

    chukua 150k ka upo tayar nipm.
  7. M

    Natafuta pikipiki ya Laki 9

    Nitimie picha watsup kwa namba hiyo juu.
  8. M

    Natafuta pikipiki ya Laki 9

    Nitumie picha watsup kwa namba hyo juu ndugu.
  9. M

    Natafuta pikipiki ya Laki 9

    Husika na kichwa hapo juu nahitaji pikipiki a 900,000/- iwe katika hali nzuri, waweza tuma picha watsup 0655101998, Nipo Dar nw.
  10. M

    Nahitaji scooter bike

    Wadau kwa wale wenyeji wa Dar, kama unafahamu duka wanalouza scooter bike za bei chini nya mil. 1 naomba nijuze tafadhari. Natanguliza shukrani za dhati.
  11. M

    Kama unahitaji kiwanja- Mafinga na Iringa Town

    Je ni muhitaji wa kiwanja Iringa mjini ama Mafinga kwa bei unayoimudu, vipp vya size mbalimbali na bei tofauti tofauti, NiPM ama contact me on 0655101998
  12. M

    Kiwanja kinauzwa -Mawelewele- Iringa

    1. Kina ukubwa wa 21 * 40 m 2. Kimepakana na barabara ya mtaa, na kuna nguzo ya umeme hapohapo. 3. Maji yapo jirani Bei Mil. 10 maongezi yapo Cont: 0769877495
  13. M

    Agiza epson px 660 tunakuletea

    Ni shiling ngap mkuu
  14. M

    Kama una mtoto Saadani Sec mhamishe haraka

    Acha uboya wewe nimesoma hapo na nimemaliza hapo enzi za Msungu shule ni nzuri, nimepita juzi, papo vzur tena sana ukifananisha na enz zetu, hayo mapungufu madogo madogo yanarekebishika na unasema wanalala kwenye magodown, yale mabweni umeyabunua ww ukayaweke hom kwkwako,?????
  15. M

    Canon ir 2016 nauza

    bei ngap ndugu
Back
Top Bottom