Kiwanja Kinauzwa Iringa Mjini.

Kiwanja Kinauzwa Iringa Mjini.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Kiwanja kinauzwa Iringa Mjini.

>Kipo Mawelewele Iringa mjini.

>Kina ukubwa Wa 26.6m * 42m = sqm 1117.2

>Huduma za jamii zipo jirani (maji na umeme).

>Hakijapimwa ila barabara za mitaa zishachongwa na kipo eneo salama.

>Bei ni Tsh 11 milioni (maongezi yapo).

>Ukitaka nusu yake pia utauziwa (20m x 26m = 520 sqm) kwa Tsh 6 milioni (maongezi yapo pia).

Dalali hatakiwi

Contacts 0757 405338
 
mawelewele ni pande za wapi mzee ukiwa pale town centre? upande wa kihesa, upande wa mwangata, huku chini ipogoro, upande wa nduli, upande wa mkimbizi, upande wa mkwawa makanyagio au don bosco au wapi? lete direction vizuri ili tujue kama ni prime area au la.
 
No upande Wa Don Bosco ndugu. Mbele kidogo zilipo ofisi mpya za Mkuu Wa wilaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom