Canon ir 2016 nauza

Canon ir 2016 nauza

Nantes

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
544
Reaction score
144
Nauza canon ir 2016 ziko 2 kwa bei ya nzuri tutakavyoelewana hazijatumika hapa
 
Attachments

  • canon IR2016.JPG
    canon IR2016.JPG
    20 KB · Views: 112
  • canon IR2016-1.JPG
    canon IR2016-1.JPG
    22.7 KB · Views: 87
Haha na wewe tupe sababu za kuuza,maake nawe ndio neno lako la kwanza mdau akitangaza kuuza kitu chake kama ulivyomtaka aliyetangaza kuuza guest house wa Tabata Kimanga,na sasa nawe tunataka mrejesho wa kwanini unauza hizo photocopy
 
Mkuu what do you mean hazijatumika.., kwenye hio picha hazionekani kama ni brand new, zimeshatoa copy ngapi na zipo mkoa gani, na bei ni kuanzia kiasi gani
 
Nitakupa jibu bila tatizo,nauza ili nipate pesa ya kukombolea mzigo TRA,ukiwa na swali zaidi usisite kuuliza,karibu!
 
Mkuu what do you mean hazijatumika.., kwenye hio picha hazionekani kama ni brand new, zimeshatoa copy ngapi na zipo mkoa gani, na bei ni kuanzia kiasi gani
Oop samahani mkuu ni used from nje,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom