Recent content by Manory

  1. M

    JamiiForums Tanzania Urusi: Shambulizi lolote la Marekani nchini Syria litajibiwa

    Hakuna Vita mkuu, kwani wote wanajua vita iyo itawashusha kiuchumi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Urusi: Shambulizi lolote la Marekani nchini Syria litajibiwa

    Pengne ikawa hivyo, lakini urusi si wa kuzalauliwa kirahi isitoche us mbwembwe nyingi. Walitudanganya watampiga sadam ndani ya saa 24 ila vita ilidumu kwa miezi kadhaa. Sasa kama yeye na washilika wake walimshindwa sadam aliekua pekee ake je watamuweza mrusi akiwa na washilika wake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

    Wayomba kwa nhana nkoi, senji doho Ng'honoyo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Usichanganya mafaili bwana mdogo, wa pesa za escrow hakuwa pengo bhana, alikua ni yule muhaya wa bukoba na sio pengo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Hazikua kura za chadema, bali zilikua kura za mh Lowassa najua unalitambua hilo sema unajifanya kusahau tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

    Ulishindikana ukuta, sembese haya!!!!!? Bado sana mkuu jipangeni upya.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Flaviana Matata achana na siasa fanya mambo yako ya urembo

    Tofauti na nchi nyingne, bongo hata wasomi wetu na watu wenye influence huwa hawatumii akili zao kufikili bali hutumia mawazo ya watu wengne kutoa mawazo yao. Nae tunashukuru kwa mawazo yake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Vipofu ni wengi ndani ya chadema, so hawawezi ona hayo uyasemayo but hakuna marefu yasiyo na ncha ipo siku watajua ila watakua wamechelewa. Big up Sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Ndani; Je, ni kweli Sugu anatendewa haya huko gerezani?

    Xijui ni Mbeya ipi unayoisema,kwa sisi wakazi wa Mbeya hakuna mtu anaewaza kufanya ujinga huo unaousema kwani tuko busy kufanya kazi kwa ajiri ya mustakabali wa maisha yetu na si kupigania upuuzi wa mtu mwingine. Zama zimebadilika na si kila homa ni maralia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani ya msingi kwa Viongozi wa CHADEMA kutoa lugha zisizofaa?

    Siku zote mfa maji haishi kutapatapa,hali ni ngumu umaarufu haupo tena xo kilichobaki ni kutukana ili wajinga wenzao waendelee kuwasapot. Wajenga hoja wote wameondoka na hata waliobaki hawajitokezi wakiogopa kuonekana wa ajabu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali itolewe kwa Joseph Mbilinyi ili iwe fundisho kwa wanaodhalilisha kiti cha Rais

    Duniani kote mafanikio huletwa na watu wenye nidhamu,kwani pasipo na nidhamu hakuna maendeleo ni kweli mafisadi ni janga la kitaifa but na wakosa nidhamu nao ni janga la kitaifa pia so acha mahakama ifanye kazi yake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali itolewe kwa Joseph Mbilinyi ili iwe fundisho kwa wanaodhalilisha kiti cha Rais

    Inshu sio ujenzi wa viwanda,ifike pahara tujenge utamaduni wa kuheshimiana kwani unapoishia uhuru wako ndiko unakoanzia uhuru wa mtu mwingine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Siamini pastor,biashara ya dini inalipa jenga kanisa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya wasanii kwenye video sio tatizo, tatizo ni ushamba wa viongozi wetu

    Kuna kitu kinaitwa mila na desturi mkuu. Kila nchi ina mila na desturi zake hivyo kwa mswati hizo ndio mila zao.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM inachukiwa sana mitandaoni? Imekosa nini?

    Ni propaganda tu za hao watu wanaojiita wapinzani wakisaidiwa kwa kias kikubwa cha watu wasio na kazi za kufanya kwani wao hushinda tu mitandaoni wakipeluzi kisha mwisho wa siku husingizia maisha magumu bila kufanya kazi. Wapinzani hulizika na comment za mitandaon huku wakisahau kuwa kwa kiasi...
Back
Top Bottom