Recent content by manonawire

  1. manonawire

    Wasichana huchagua wenza wao mapema

    Pole mkuu na mm nilikumbana na kisa kama chako. Niliachwa baada ya mwezi akarudi kuomba msamaha, swali la kwanza akauliza kwani ww utafanya nn baadae (sasa n mwanachuo). Na mm nikamwambia hatutawezani papo kwa papo. Siku hz n wavivu sana
  2. manonawire

    Wasichana huchagua wenza wao mapema

    Ni heri akatae toa namba Mabinti Siku hz wana background mbaya mno, wazazi wanasema binti mchafu sana yule"
  3. manonawire

    Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

    Hahahhaha Chief mm n chalii sijaoa bado ila angalia mfano mzuri kazi zako za kila siku zipate msaidizi Ndo maana nimesema upate wa kwako TUU
  4. manonawire

    Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

    Una udanganya umma Omba Mungu akupe wako hutapata mateso, ukichukua wangu jua atakuja tu getto kwangu 😂😂 Ndoa ina faida nyingi kuliko hasara.
  5. manonawire

    Kama huna hela usiombe namba

    Riki the boy Kama huna pesa usiombe namba kimasihara
  6. manonawire

    Nashindwa nifanye nini juu ya huyu mpenzi wangu?

    Yani huyo dada hakufai na mbaya zaidi hata solution huijui, maana kati ya hizo 2 hakuna hata moja. Hio n red light // Kila la kheri kaka
  7. manonawire

    Ungechukua uamuzi gani?

    Aisee n vile ww n islamic imagine hayo yanatokea kwa Christian kama mm. Umekosea kuoa, muache huyo dada hakuna uEX, utaishi maisha ya kulambwa kisogo hadi nywele ziwe nyeupe na mbaya zaidi hutaambiwa Kisa " tusije vunja ndoa yao " LOVE MUST BE TOUGH
  8. manonawire

    Wallah huyu Demu ni Muongo Jamani. Huyu demu ni Muongo!!! Kha!

    Kwanza kaa mbalii korona x2 Tena vaa maski Mikono yako osha
  9. manonawire

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Academically Architect huwa wana kitu kinaitwa concept, si ajabu huyo mbunifu alimtumia nyoka kama concept tu na s swala lingine. Kama n hivyo basi n lazima jengo liwe la mtindo huo ili liendane sawa na hio concept. Spiritually Inawezekana kuna kitu kimefichwa nyuma ya huo muundo wa jengo...
  10. manonawire

    Kuna ishara kabla ya kufikwa na mauti

    ila ukweli n kwamba siku zinatokea kwa mtu wako wa karibu hutawezi kumbuka hizi dalili baadae utasema kumbe ndo maana ilikuwa vile
  11. manonawire

    Kuna ishara kabla ya kufikwa na mauti

    Mgonjwa kugeukia ukutani kukataa kuonana na watu n dalili mojawapo Mtu akiwa anaumwa akaanza ita watu kwa wingi wamuone na hata kugawa baadhi ya nguo na hii n dalili Mgonjwa kupona ghafla na kudai aina fulani ya chakula na kupiga stry nyingi sana na hii n dalili
  12. manonawire

    Valentine's day

    Yna2 , can you be my valentine🎈
  13. manonawire

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Vizuri sana broo sasa fanya mazoezi na tafuta demu hata malaya tuu ili kwanza ujenge confidence kabla ya kupata yule unayempenda Note Malaya n hatari kwa afya
  14. manonawire

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Acha angalia pono mkuu Tafuta demu
Back
Top Bottom