Ungechukua uamuzi gani?

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,746
8,681
Wakuu

Naomba nisamaraizi

Nilioa mwaka jana kutokana na shinikizo la wazazi, nilikua na wasichana wawili ambao niliwatambulisha kwa wazazi

Mmoja alikua ni jirani yetu alikua anajulikana tabia zake na wazazi, huyu nikakataliwa nisimwoe ila ALIKUA NA MIMBA YANGU,

Ikabid nioe huyu wa pili nae alikua na ujauzito ambayo kwa asilimia zote niliamini ni ujauzito niliompa mimi.

Ndoa ikafungwa ya kiislamu maisha ya ndoa tukayaanza huku mimba inazidi kukua ya mke wangu, yule msichana wa kwanza akajifungua salama mwezi uliopita.

Sasa juzi nikapokea simu niliezungumza naye ni jamaa anadai huyu mke wangu hiii mimba aliyonayo ye jamaa ndo kampa na anachotaka ni huyo mtoto akizaliwa apewe

Nikamuuliza mke wangu ikabidi anambie uyo ni ex wake na walishaachana muda,

Sasa najiuliza jee hii mimba nisubiri ajifungue nione au majaribu tu?
 
A nigga is calling kuclaim mimba na best decision ni kusubiri uone?

Upo mkoa gani?
 
Aisee n vile ww n islamic imagine hayo yanatokea kwa Christian kama mm.

Umekosea kuoa, muache huyo dada hakuna uEX, utaishi maisha ya kulambwa kisogo hadi nywele ziwe nyeupe na mbaya zaidi hutaambiwa
Kisa
" tusije vunja ndoa yao "

LOVE MUST BE TOUGH
 
Kuna Mambo mawili inawezekana ikawa ni kweli au uongo tu ana taka kumualibia mke wako,, kwakuwa kashaolewa na yeye bado ana mpenda, na Wewe ulifanya mapema Sana kumuuliza mke wako Wewe ungefanya uchunguz wako kimya kimya angalau ungepata kitu.
 
Ndoa ni ya kiislamu na tulifunga mimba ikiwa bado haijaanza kuonekana vyema
 
Back
Top Bottom