Recent content by Manny de Bwoy

  1. M

    DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

    Hata huko Nigeria wasanii kama Tiwa Savage alisainiwa ila baadae alijitoa in short label za kimataifa haziongezi chochote Kwa wasanii wa Africa zipo kinyonyaji zaidi
  2. M

    Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Nikajua utaongea point za msingi Sasa kushangiliwa Kila unapopita ndiyo ishara ya uongozi Bora🚮
  3. M

    Uwanja wa Bunju haujakamilika, unazungumzia viwanja vitano, swimming pool. Je, huu sio uwendawazimu?

    Nyie hata huo mmoja mnao au ndiyo nyani haoni kindule hebu peleka uchura wako jangwani girls
  4. M

    'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Uwezo wako wa kiakili ni hafifu? Kwanza jua maana ya neno ugaidi (terrorism). Pili, jua historia iliyopo kati ya USA na Libya na Iraq Utajua kwanini walivamiwa. NB: Ukiona mtu anabadili mada jua Hana hoja anajaribu kukwepa challenge Kwa kuanzisha mada zisizokuwepo hatuzungumzii Libya Wala Iraq hapa
  5. M

    'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Acha porojo wewe Israel inatoa taarifa za vifo Kila mara nenda page za IDF uone updates Kila mwanajeshi akifa Gaza wanaandika Jana tu wamepost mwanajeshi wao amekufa Gaza, Siku ya kwanza kufanya ground invasion Lebanon walitoa taarifa wanajeshi wao 7 walikufa, hiyo censorship unalozungumzia ni...
  6. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Sijayaona nahisi bado japo sijaangalia siku mbili tatu za karibuni
  7. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Bila shaka hujui kinachoendelea, 😂 kwamba data za Sensa ni za uongo? Basi lete zako za ukweli
  8. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Arusha ipo nafasi ya 10 nilisahau kuiweka thanks
  9. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Kwa mujibu wa Sensa ni kama inavyoonekana labda mengine ni maoni tu ya wadau
  10. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho. Mikoa 10 inayoongoza kwa Asilimia kubwa ya wakazi kujua kusoma na kuandika (Mwaka 2022) 1. Dar es...
  11. M

    'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Acha porojo na pumba kama huna la kuandika kapimzishe ndonga dunderhead
Back
Top Bottom