Recent content by manmasu1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    Kwa kuwa nina akili timamu, siwezi kukukimbiza ww nenda nazo tu hizo nguo. Hahaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    Pengine jibu unalo ww maana jina lako laendana na swali!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    Ni mwaka wa kidini/kikristo. Ndio maana huwa kuna kukesha kiibada kanisani. Ila sijajua kama ibada hii ni ya kuzusha au hata Yesu mwenyewe aliwahi kuifanya/kuhimiza ifanyike.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa alisomea wapi uchungaji?

    Pengine Chama chake kinatoa hiyo koz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa watangazaji wa radio

    Siwasikilizi tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa watangazaji wa radio

    Mmmh inawezekana kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa watangazaji wa radio

    Kuanzia leo siwasikilizi tena
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa watangazaji wa radio

    Hivi kwann baadhi ya watangazaji wa radio hupenda kutumia neno 'baby' ktk vipindi vyao? Mfano mzuri ni kwa watangazaji wa kipindi cha XXL cha cloudsfm. Hasa Adamu mchomvu na B dozen. Utasikia wanasema ''endelea ku'tune in' the people's station XXL cloudsfm 'baby' enjoy". Nauliza, hivi huyu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TV Iman imebadili frequence

    Wanachochea nn?
Back
Top Bottom