Recent content by Mankumbi Mweni

  1. M

    Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

    kaka bora hata wewe unaunguruma. Kuna mmoja alifika kileleni akaanza kuniita jina langu kwa sauti: man... manku...mankumbi mankumbi.. maaa... mankuuuuumbiiiii....aaaaah...aaaaaaaaaaah halafu akadondoka kama gunia akalala fofofo. Mbona starehe yote iliniisha? Toka siku hiyo nilikoma uzinzi...
  2. M

    Tofauti ya imani ya makanisa inanifanya nishindwe kumuoa binti nimpendaye.

    naelewa ukatoliki na upentekoste ni karibia maji na mafuta taa ukiacha wale karismatiki lakini nimeshaona mume mkatoliki akiishi miaka 40 na mke muislamu na watoto wanne wakatoliki. Kama una uhakika haitakupa shida mkeo kuendelea kuwa mpentekoste basi funga ndoa huko katoliki kwenu maana uzuri...
  3. M

    Naomba ushauri kabla cjafanya maamuzi..??

    Kama ana miaka 39 na hatakushirikisha malezi ya mtoto kwa nini katika wanaume wote duniani akuchague wewe? maisha yake yasikuhusu. Usidanganyike kuwa unaweza kuzaa na mtu mwingine halafu ukaendelea na maisha kama hakuna kilichotokea. Kama unataka mtoto wa 4 kazae na mkeo. Halafu unajua kuwa ni...
  4. M

    Tumshauri huyu dada kweli amekwazika sana.

    Rafiki yangu wa jinsi a kiume aliwahi kunitumia clip ya ngono ya mwanamke na mwanaume kwa e-mail. Nilishangaa sana lakini nikamtumia e-mail kuwa sipendi clip za aina ile asinitumie tena. Tulikuwa na tabia ya kutumiana vitu vya kuchekesha ila alipovuka mpaka sikusita kumwambia. Sioni sababu ya...
  5. M

    Mume amenitenda

    uongo mtupu. eti miaka 12 hawana kazi, wamepata zali la milioni 30 wamejenga nyumba nzuri na kununua gari na zikabaki za kuhongea na kulewea. Watu wengine sijui wakoje?!
Back
Top Bottom