Naomba ushauri kabla cjafanya maamuzi..??

Naomba ushauri kabla cjafanya maamuzi..??

Kama ana miaka 39 na hatakushirikisha malezi ya mtoto kwa nini katika wanaume wote duniani akuchague wewe? maisha yake yasikuhusu. Usidanganyike kuwa unaweza kuzaa na mtu mwingine halafu ukaendelea na maisha kama hakuna kilichotokea. Kama unataka mtoto wa 4 kazae na mkeo. Halafu unajua kuwa ni vibaya ndo maana umesita.
 
kama anataka sperm donor zipo hospitali ya mikochenia process zake na unalipa unapewa chako.asikuharibie ndoa yako,huanza taratibu mara unanogewa
 
Siamini kama kuna mwanandoa atakushauri uvunje ndoa yako kwa kujiingiza kwenye uzinzi kwasababu ya elimu ya huyo dada. Kwani yeye haoni kijana reyeto anayeweza kumpa mbegu hadi ww mume wa mtu? Ila na wasiwasi umeshaingia tamaa kaka. TAFAKARI MAHUSIANO YAKO NA MUNGU NA MKE WAKO then UTAPATA JIBU.
 
Jilipue na vile vile ukamweleze na mkeo kuwa kuna bi dada anaomba nipate nae mtoto
Unataka watu wakufundishe kuhalalisha uzinzi wako na kusaliti ndoa yako
Itakuwa ngumu kumwambia yf aisee nashukuru kwa kunikumbusha kiapo cha ndoa...
 
Mwambie akatafute spermdonor hospitali ambae hana attachment nae yoyote!we mbegu zako zipo reserved!
 
Angalizo:

1. Kama unamwogopa Mungu, na kama unampenda Mke wako kweli kweli.....hutazaa naye KAMWE.

2. Otherwise, kama wewe ni Muislam umwoe ili awe mke wako halali wa pili ili mpate kuzaa viumbe halali mbele za wanadamu na Mwenyezi Mungu; na

3. Kama wewe ni Mkristo, basi sahau hilo suala kwakuwa hakuna ndoa mbili kwa wakati mmoja.

Nakutakia kazi njema, na uvishinde vishawishi vya huyo dada (old woman (39yrs)....by keeping good love and companion to your good wife.
Bonge la ushauri,..nashukuru i will be closer to my yf..mapito tu haya
 
Naondoka jamani,nimekaa hapa mda mrefu. Nitakuja tena siku nyingine
 
Mwambie unampa tu mbegu, azitunze kwa umakini na tunda atakalopata alitumikie
Ndio tulivyokubaliana mkuu lakini naona mawazo ya watu wengi hapa kufanya hivyo ni kosa but Namuonea huruma sana hadi kafikia kunitamkia...nikikataa cjui itakuwaje yaani niko dillema hapa lakin nitam dis tu..
 
Angalizo:

1. Kama unamwogopa Mungu, na kama unampenda Mke wako kweli kweli.....hutazaa naye KAMWE.

2. Otherwise, kama wewe ni Muislam umwoe ili awe mke wako halali wa pili ili mpate kuzaa viumbe halali mbele za wanadamu na Mwenyezi Mungu; na

3. Kama wewe ni Mkristo, basi sahau hilo suala kwakuwa hakuna ndoa mbili kwa wakati mmoja.

Nakutakia kazi njema, na uvishinde vishawishi vya huyo dada (old woman (39yrs)....by keeping good love and companion to your good wife.

Big up sana brother mwambie jamaa kweli akili zake znamtosha mwenyewe mbona kila ki2 kipo wazi kabsa.
 
nahis hyo PHD imekuchanganya.. mume wa mtu tena mwenye watoto 3 wanaojivunia kuwa na baba kama wewe unashindwa kwel kutoa maamuz hapo?
 
Mtani sijui hata kwa nini umepita huku....if yu no wati ai mini!!

hata mi sijui!
pole mtani
it was not meant for.ur eyes mtani!
huu sio mwandiko wangu.we of all ze pipo knws.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom