Recent content by Manjogote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    Mau Mau Wenye macho tumekwisha liona siku nyingi hatuwezi kuchaguliwa viongozi na vyombo vya habari
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Mnamuonea tu mwenzenu wamekatwaaaaaaaaaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Hongera kwa hotuba ya M/kiti wako ya mipasho eti kidumu chama cha mapinduzi bungeni?!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wassira: CCM Ikisimamisha Mla Rushwa Itapoteza Dola

    chakii Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini uwasilishaji wake usiwe sahihi Wasira anazungumzia rushwa lakini mtu anayesafiri kwa ndege au herikopta si lazima awe mla rushwa.Huo ni wivu wa kike.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Urais 2015, Walimu wamuunga mkono Lowassa

    Acha utumbo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tusiwasikilize wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka...

    Mbona matusi badala ya kutoa hoja kumtetea huyo zezeta wako hata macho huna
  7. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

    yetu macho hata pa kuanzia sipaoni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    waandishi wa habari tayari wapo katika ukumbi wa mikutano Ikulu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano na wanahabari Ikulu wasogezwa hadi saa 8 mchana!

    Tayari kikao kimeanza tune TBC1
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    lakini ndiyo mabingwa na ligi kwanza ndiyo inaanza
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa mtaji wa CCM na upinzani

    Sikubaliani nawe Lowasa hayuko tena CCM anachofanya ni kumwaga mboga tu ili wakose wote kumbuka majibu aliyowajibu Nape na Mangula kuwa hata iweje kupitia CCM au chini ya mti yeye ni Rais tu. Utamwita CCM hiyo?!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Nawewe unavyowaaminisha Watanzania nikuwapotosha maamuzi ya nani atutawale yako mikononi mwetu bila kujali chama na si kweli kuwa hatuwezi kuwang'oa hao CCM wako. Subiri muda utasema mbelile mwenyewe!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Asituchanganye siasa na dini wapi na wapi wakisema wengine. waambiwa kasemeni kwa waumini wenu Huyu hana lolote nimchochezi tu watu wametoa mawazo yao na yaheshimiwe Tanganyika kwanza mambo mengine baadaye
  14. M

    JamiiForums Tanzania hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

    Unambania nani wakati huwa unagawa tu kwa wengine
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara kwa Amani! Ya kwanza East Africa...

    Mimi sishangai na taarifa hii kwani matukio ya mauaji ya raia ndani ya nchi yao yanatisha.Kila kukicha mara waandishi mara wakulima na wafugaji mara operation tokomeza mara madawa ya kulevya ili mradi hovyo kila kitu. Tuendeleeni tu na huo wimbo wetu huku takwimu zikisoma tofauti kwani tunakosa...
Back
Top Bottom