Recent content by Maninho21

  1. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Naona una wazo lakini unachanganya mambo na hiyo inawezekana kwasababu haukifahamu unachotaka kukiandika. Fanya kwanza tafiti ili ukifahamu vizuri kile unachotaka kukipresent
  2. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Ujumbe""""wa leo kwa walio-oa

    Watu wanakua kila siku, lazima ujue makuzi ya huyo mtu - anakengeuka au yuko fresh bado
  3. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Jamani niruke nae au nighairi?

    Unatunga story nzuri.. andaa kitabu
  4. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

    😁😁 aisee
  5. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Mimi naona bora nioe mwanamke mwenye watoto 2,3 ,4 au 5 nakuendelea kuliko kuoa mwanamke mwenye mtoto mmoja

    Kwahiyo hapo 👆 utaishi kitaalam, kwasababu ni mke wa mtu,ameachwa na watoto wawili.. Lakini huyu ameachwa na mtoto mmoja ni shida.. sawa mkuu.
  6. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili, nani anaonekana ana shida zaidi ya figo

    Vyote ulivyoandika ni sahihi japo haukuzingatia nilichokiandika hasa hasa sentensi ya kwanza (isome utaelewa.
  7. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili, nani anaonekana ana shida zaidi ya figo

    Tofauti na kufanya vipimo, Kumjua mgonjwa mwenye shida ya figo unahitaji kuangalia/ kuzingatia vitu vingi zaidi ya movements za chooni wakati wa kunywa bia. Sasa kwa namna ulivyoiweka manake huyo mtu bado yuko fit kwa muonekano. So, in the early stages of kidney damage, mtu husika ata visit...
  8. Maninho21

    JamiiForums Tanzania Single Mothers mpewe maua yenu

    Mtu mmoja mwenye busara sana aliwahi kuniambia kama aliyemzalisha hajafa basi Fahamu kwamba wazazi hawaachani kamwe, kwa pamoja walishaifanya kazi ya Mungu ya uumbaji. so me nasema wanaweza kupotezeana kwa muda lakini yeyote Kati yao akiamua kuliamsha kupasha kiporo, kinapashika.
Back
Top Bottom