Recent content by MANILABHONA

  1. M

    Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mmhh hapa mbona watabaki wachache uraiani. Kuna baadhi ya wafanyakazi tutawakosa hapa mfano nchi itabaki bila Wanajeshi , Polisi , madreva bodaboda. Yaani robotatu ya wananchi watakuwa lupango wakitumikia hiyo 30
  2. M

    Clouds TV imeanza kuwa kituo cha kutetea wauza madawa ya kulevya

    Yaani hiki kituo toka amefariki Ruge kimepoteza mwelekeo, hakina mvuto tena
  3. M

    Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Maajabu kweli haya . Mnavunjaje ndoa ya watu. Walipotongozana , wakapendana, wakakubaliana wakaonjeshana mlikuwepo?. Sema walifuata mtazamo wa jamii, kwenda msikitini. Kumbukeni ndoa ni makubaliano ya watu wawili kuishi pamoja kama mke na mume na kuujulisha umma uwatambue hivyo na si vinginevyo...
  4. M

    Lissu: Kibaraka ni yule anayeficha Fedha China

    Bora kupoteza kundi kubwa la wafuasi wake kuliko kuufinyanga ukweli, Nchi hii haijawahi kupata raisi asiye na upeo na asiyejitambua, mnafiki, mwongo kama mwendazake. Mungu aliona akimruhusu kwa muda wa nyongeza tutaangamia akamvuna na sasa unaona Mama anavyoipaisha nchi juu. Mama Samia...
  5. M

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    USILOLIJUA SAWA NA USIKU WA GIZA , INAONEKANA WALA HUWAJUI VIONGOZI ULIOWATAJA. KASOME TENA HISTORIA ZAO NA WALIYOFANYA UJIONGEZEE UELEWA
  6. M

    Uwanja wa ndege Chato sasa kiunganishi kikubwa kanda ya Ziwa Victoria na Magharibi

    inaingiza zerooooooooo!!!. Rejea hotuba ya generali mstaafui UDSM kuhusu viongozi kujineemesha au kuneemesha kwao, utaelewa
  7. M

    Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

    Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA! Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua...
  8. M

    Hongereni TBC kwenda Uganda kuongeza ujuzi wa uandaaji wa vipindi

    Nimefurahi kuona TBC walivyofanya uamuzi wa kwenda Uganda kujifunza namna ya uandaaji wa vipindi vya TV na urushaji wa matangazo. Kongole kwao. Kwa kweli ilifika mahali watanzania walio wengi hawapendi kuangalia televisheni za humu ndani kutokana na kukosa ubora wa vipindi, kukosa maudhui...
  9. M

    Watumishi wa umma wamkumbuka Rais Magufuli kuwa na hofu juu ya mishahara kucheleweshwa

    Wewe ndo umekuwa msemaji wa watumishi, pambafu!!!!!. Nani amkumbuke mbaguzi mkubwa yule. Raisi wa Chato. Umemsikia GENERALI alivyoongea juzi UDSM. Raisi hatakiwi kuelekeza kila kitu kwao. raisi wa namna hiyo hafai. no wonder yametokea yaliyotokea. Watumishi ni waelewa sana wanajua mwisho wa...
  10. M

    Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Huyu nae ndumilakuwili mchumia tumbo, mbona hashangai Wabunge na maspika kulipwa mshahara mkubwa kuliko walimu. Kuna anaezidi kazi ya mwalimu? Hawa ndo walistahili mshahara mnono, lakini kwa Tanzania hizo ni ndoto
  11. M

    Serikali yaionya TLS kuendesha uanaharakati/Siasa

    Hee !! . Nilidhani Huyu bwana Mpanju ni mwanasheria kumbe sio?. Hajui kuwa mambo mengi ya sheria yanahusu HAKI ZA MSINGI ZA RAIA. Ukiongelea haki Tanzania unaonekana mwanaharakati
  12. M

    Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

    Wizi mtupu!!!!. Nchi alishaigawa vipandevipande. Wewe sijui unaishi wapi, inawezekana kanda ya ziwa au Dar. Humu nchini kuna maeneo unayoyaongea hawayajui, hali kwao imezidi kuwa mbaya, umeme umezidi kukatika,ujambazi umezidi. Kilichopungua ni kutangazwa kwa mambo mabaya kwa sababu vyombo...
  13. M

    Ushauri kwa Rais wangu mpendwa: Chunguza na kushughulikia tatizo moja dogo - ufa wa ukabila na ukanda

    Nakusalimia kwa salamu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hongera sana kwa kazi mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania sasa tumekuelewa vizuri na tuko pamoja na wewe. Mabadiliko uliyoyafanya ndani ya muda mfupi yanaonesha kweli ulikuwa karibu na mtangulizi wako na ulielewa alichokuwa...
  14. M

    Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

    Kama sio mwizi kwa nini alikuwa karibu na wezi?. Tafakari.
  15. M

    Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

    The country was in a 'state of captivity'. Yaani hakuna aliyekuwa anafanya kazi, wala kutumia akili zake. Kila kitu utasikia Magufuli ametuletea bilioni kadhaa.... , Magufuli amejenga ...., Magufuli,magufuli ,magufuli. Maana yake alikua anaongoza peke yake, wengine walikua hawafanyi chochote...
Back
Top Bottom