Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC
Ayoub Ryoba nishakaa naye sana kwenye viti virefu enzi kabla hajawa TBC, ni mwanamageuzi mzuri mno - ni mtu anayesimamia haki - nafikiri ni upepo tu ulimpitia lakini huyu namuombea msahamaha kwenye hii list yako.
 
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
Haya maneno kama kweli wewe unajiamini nenda kayazungumze pale kituo cha Mbezi Luis au Ubungo Interchange pale kwenye watu wengi hakika watanzania Watakutoa kafara ya mawe, utapigwa mawe hakika.
Ni hayo tu, nimemaliza tena chukua tahadhari mapema. Ni hayo tu.
 
Binafsi nikimpenda JPM na Nitaendelea mpenda kwa uongozi wake hata mwanzo nilimchukia kwa kukosa ajira kwa Miaka 5 Lakini nilijitafakar nikaona anachokifanya ni kizuri kwa mustakabali wa Nchi yetu na si kutafakari tu Kwa ubinafsi wangu.

Alikua na Karama ya uongozi japo Kama Binadamu alijikwaa na ni sehemu ya Maisha kuanguka na kujirejesha kwa upya.

Asante Mungu kwa Maisha ya JPM, ninaomba Nami unisamehe pale nilipomuwazia isivyo sahihi Rais Wangu, umrehemu huko aliko na Mwanga wa Milele umuangazie eeh Mungu baba. Apumzike kwa Amani.
mfuate kaburini basi.
 
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
The country was in a 'state of captivity'. Yaani hakuna aliyekuwa anafanya kazi, wala kutumia akili zake. Kila kitu utasikia Magufuli ametuletea bilioni kadhaa.... , Magufuli amejenga ...., Magufuli,magufuli ,magufuli. Maana yake alikua anaongoza peke yake, wengine walikua hawafanyi chochote. Maana hakukuwa na sababu ya kuwa na baraza la mawaziri, waabunge, wanasheria, makatibu wakuu n.k. Yeye alikua kila kitu Hawakujua tu maneno yao yalikua matusi kwa watanzania walio wengi. Uliona umati kwenye mazishi????. Wengi walilia kwa furaha, walikuwa hawaamini kama imetokea. ila waliongea ya mdomoni sio ya rohoni
 
Kila Zama na mambo yake,katika maisha tunapitia mambo mengi na viongozi wengi na wenye mitazamo tofauti tofauti.Tuwe tayari kuyakabiri haya kama vile,mchana,usiku,mvua,joto,baridi nk,maisha yanasonga.Kikubwa fanya kazi kwa usahihi iwe ya kuajiriwa,binafsi.
 
Total loss+Purchasing price=Hakuna kama Magufuli.Hiyo ni ATCL pekee,je ukiingia bandarini,BOT,TRC nk si tutakufa kwa pressure sisi Watanzania?
Tuliyedhani ndiye kumbe hakuwa...Mara ni kama Sokoine wengine wakinena ni kama Nyerere etc,pathetic!
Tunatakiwa tudai Katiba ya Wananchi kwa mustakabali wetu kuepuka nchi yetu kubatizwa Tanzania ya Magufuli?Akija mwingine Naye ajimilikishe?
 
Marehemu hakuwa na lugha yenye staha, kuwaporomoshea mitusi (Pumbavu, vilaza) lugha ya kudhalilisha mawaziri wake hadharani si haki... ni kweli utawala wake ulijaa jeuri na kibri.
Watu wazima kuchapwa viboko hadharani aisee,

Hakuna hata kesi moja moja ya uchaguzi,

Nadhani baada miaka 2 mbele, mahakama ingekufa kabisa kwa kukosa KAZI.

Maana hukumu ziliishia kwa DPP na kuchapwa viboko
 
Haya maneno kama kweli wewe unajiamini nenda kayazungumze pale kituo cha Mbezi Luis au Ubungo Interchange pale kwenye watu wengi hakika watanzania Watakutoa kafara ya mawe, utapigwa mawe hakika.
Ni hayo tu, nimemaliza tena chukua tahadhari mapema. Ni hayo tu.
Hela kujenga Ubungo zilitoka Chato? Na mbunge na meya wa eneo hilo walitoka Chato Empire??
 
Kodi mpaka mahouse girl wanatoa
IMG_20210329_113303.jpg
Umemuona mfitini? Mwenezi wa fitna.
 
Back
Top Bottom