Recent content by manhaj

  1. manhaj

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    Kujua compyuter hadi kingereza kiwe kinapanda?? Kabisa mkuu
  2. manhaj

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Jamai raja tv show series ikiwa subtitle yake ya English 2naipata vipi
  3. manhaj

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Aibu mwenye kufeli naye kulalamikia ufaulu...
  4. manhaj

    Wanafunzi shule ya msingi kuwalimia waalimu mashamba yao.

    Acha walimishwe mpk serikali itakapoona thamani ya walim hata ww inaoneka hukusomea ualim km ungesomea pia ungewafanyisha kazi hizi. Hakuna anachopata mwalm zaidi ya kujishughulisha na kilimo kwa kijjn na mjn vbiashara vya hapa na pale. Nguvu kazi ndio wanafunzi maana hela ya kuweka vbarua hana...
  5. manhaj

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo malinyi morogoro itete sekondari nije lushoto,tanga jiji, moshi (m) au moshi(v)
  6. manhaj

    TCU yapunguza vigezo vya kuingia Vyuo Vikuu kwa waombaji wa Diploma 2016/2017

    Pa1 na hivyo ila bado hali si shwari sana 3.0 dip si mchezo then form six wengi kwa kipindi hiki pia nao hawajafika hizo cutting points 4...so wawe fair kotekote.
  7. manhaj

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    vp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife mwambie aje huko muishi wote
Back
Top Bottom