1. Usioe bila kuwa na uhakika wa Pesa ya kumlisha mkeo
2. Tafuta sana pesa kadri uwezavyo. Dunia haina huruma kwa maskini. Na uta heshimiwa kwa mali/pesa unazomiliki
3. Kuwa na kiasi kwenye maisha yako
4. Ukimwi upo na unaua.
5. Usiamini sana watu
Nataka gari sio kulia lia soma post vizuri uelewe na sio gari langu la kwanza wala la pili. Ila nataka kubadilisha ladha. Kama huna cha kuchangia kama kimya
Habari za leo wanajamvi
Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama
1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku)
2. Upatikanaji wa vifaa
3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu
Ni lipi gari zuri kati ya hizi
1. Subaru XT
2. Suzuki...
Ulianza kwa kuponda vijana wa sasa hawajui historia na wanashinda mitandaoni tu nikajua utakuja na hizo sababu za kuteuliwa kwa Dotto Biteko sasa kumbe we mwenyewe hujui na bado unajiuliza maswali tu. Ungeweza kutoa findings zako na maoni yako bila kuwasema vijana wa sasa
Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
Kwa tulio dar es salaam bana kuna sehemu ambayo kama una usafiri unaweza ukashawishika kula mbususu kwenye maeneo hatarishi likiwemo eneo la maegesho la magari la mlimani city. Kwa tuliowahi kula sehemu hiyo tukutane hapa na ilikuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.