Recent content by MANGUNGO

  1. MANGUNGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂 nina hamu ya kulia hivyo nimeona nojitoe akili kidogo.......siku moja moja kujifanya mwendawazimu sio mbaya!!!:D:D:D:D:D:D
  2. MANGUNGO

    3G doungle naweza kutumiaje Tanzania?

    Ubarikiwe mkuu Chipukizi
  3. MANGUNGO

    Msaada wa number za APN

    Za vodacom mkuu au hata tigo
  4. MANGUNGO

    Msaada wa number za APN

    Naomba msaada kwa mwenye hizo APN za voda wakuu
  5. MANGUNGO

    3G doungle naweza kutumiaje Tanzania?

    Wakuu naomba msaada wa hili jambo nina tablet inatumia 3Gdoungle sasa naomba msaada wa maarifa jinsi ya kutumia tablet yangu maana haisomi kadi ya simu ya voda wala tigo na internet hamna mpaka nitumie wireless
  6. MANGUNGO

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mimi nini tablet inatumia 3g doungle nitoeni ushamba wadau nafanyaje hapa ili nipate internet na huduma za simu?
  7. MANGUNGO

    tablet inatumia 3G doungle naomba msaada namna ya setting za internet

    Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe hewani.asanteni naomba kuwasilisha
  8. MANGUNGO

    Tablet ya Lenovo msaada tafadhali.

    Asante sana mkuu ngoja nofanye hivyo
  9. MANGUNGO

    Tablet ya Lenovo msaada tafadhali.

    Kuna sehemu ya ku-tick tu hamna option nyingine...na VPN naingiza details gani mkuu?
  10. MANGUNGO

    Tablet ya Lenovo msaada tafadhali.

    Tablet ya lenovo nashindwa namna ya kuseti internet na haisomi sim card nikienda ktk network setting naona VPN , GPRS na wireless nashindwa la kufanya ili nipate mawasiliano...kuna mtu kaniletea kutoka china.
  11. MANGUNGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani kwa man u nina 100% anashinda na kwa upande wa hull city historia sidhani kama inaweza kuwa kigezo cha msingi hapo ni nani yupo kwenye form alafu nani ana % nyingi za kuokoka lakini kwa taadhari nawatoa hao maana wote wana presha
  12. MANGUNGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Barca na madrid nimewaweka kwenye mkeka mwengine...so huu mkeka wa risk tu...ila man u anataka kucheza UEFA leo lazima ajihakikishie kushinda maana next week ana asernal alafu stock city hana cha kupoteza ila tottenham yupo nafasi ya 6 atahitaji ushindi ili abaki hapo ili acheze UEFA ndogo
  13. MANGUNGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hully wa 17 anahitaji kupanda nafasi ya 16 au 15 hasishuke WBA yeye hana cha kupoteza hapo pia man u anahitaji kumantain nafasi ya kucheza UEFA mwakani tambua week ijayo ana asernal hivyo game hii ni muhimu sana kwake kushinda ili amwache Liver mbali.....hesabu yangu ilikuwa hivi ila kwasababu...
  14. MANGUNGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sija submitt bado hapo vp wadau?toa neno
Back
Top Bottom