Recent content by Mangowe

  1. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Nilini mtatoa vibari vya uhamisho Kwa watumishi walio chini yenu ? Maombi yanaonekana yapo tamisemi zaidi ya miezi 6, na yamefuata taratibu zote. Wahudumieni kupunguza hisia za "uhamisho ni mpaka utoe rushwa''
  2. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Ila tamisemi mnazingua Sana, mna mifumo mingiii ila ufanisi wake niwamashaka, mfano ni ESS, mnachangia mazingira magumu Kwa watumishi walio chini yenu
  3. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Rais kwanini hajamteua mwenyekiti wa TSC? Ni mwaka Sasa tangu aliyekuwa mwenyekiti amalize muda wake

    Mpaka Sasa Rais hajateua mwenyekiti wa TSC tangu mwaka jana mwezi wa saba 2023 hakuna Aliyethibitishwa kazini kutokana na ukosefu wa mwenyekiti. Mashauri ya kinidhamu ngazi ya wilaya yamekuwa Mengi mno maana hayawezi tatuliwa maana hakuna kamati iliyoundwa kutokana na itifaki, hata kupandishwa...
  4. Mangowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilikuwaje!? Story inaonekana tamu ila umeipa summary sana
  5. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Hakika , kunawakati utapanda na kunawakati utashuka. Unaweza pata pesa Ila changamoto nikuzifanya hizo pesa ziendelee kuwepo.....
  6. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Mpaka wiki iishe ndipo ataweka tena
  7. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    H Hiyo ndivyo imeisha hivyo......
  8. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Kwani kwa unavyo ona hii story itaisha? Hizi nidalili za msimuliaji kuwakimbia wasimuliwaji, .... Zamani alikuwa akichelewesha kutuma episode aliomba samahani sikuhizi akichelewesha kutuma episode tunasema mchawi elfu tatu....
  9. Mangowe

    JamiiForums Tanzania CCM tunakosea wapi? Hii tabia ya kusomba watu kwenye malori kwenye mikutano ya hadhara mpaka lini? Mbona Chadema wanajaza nyomi bila kusomba watu?

    Sasa wanasiasa wetu hawa wa kusin mwa jangwa la sahara wanaweza kutumia njia ipi ya usafiri zaidi ya hayo Malory? Tukubaliane tu kuwa tunasafari ndefu Sana katika nyanja za sayansi na teknolojia , kisiasa, kijamii na kisiasa. Ukitafakari vyema bila ushabiki wa vyama utagundua kabisa tunamkwamo...
  10. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Wakati story inaanza mwandishi hakuwa bize , ubize umeanza pale tu afutatu iliposhika atamu
  11. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Mugabonihela, hii Hadithi ndivyo ilivyo isha, ? 😀😀😀Au umepatwa na changamoto huku sisi hatujui maana ishakuwa ni the long wait...
  12. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Pole Sana mkuu
  13. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Kakutwa na Nini jamaa etu, aftatu alisema sio tatizo....
  14. Mangowe

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Mugabonihela vipi unaumwa Kaka...
Back
Top Bottom