Muwe mnaweka habari kamili na chanzo
Prof holds baby during class after dad can't find sitter
by Daniel Otis and Ben Cousins, CTVNews.ca Staff
Published Monday, March 4, 2019 10:44AM EST
When a student at Atlanta’s Morehouse College couldn’t find a sitter for his baby daughter last...
A Roman Catholic Church priest from Musina, Limpopo (South Africa) has been accused of breaking the church's oath of celibacy by allegedly failing to keep his pants on.
Father Martin Magoro was accused of snatching one of his spiritual flock's girlfriends and allegedly sired a child with her...
Ukiona wanatumia gharama kubwaa ktk ujenzi wa kaburi la hayati Ruge, ni ishara kuwa walikuwa wanampenda mno na hivyo walimsapoti kifedha sana ktk kipindi cha matibabu yake ili kuokoa maisha.
Mkuu, taratibu...Hayo ni mambo yaliyo juu ya upeo wako.
Kwa kukusaidia tu huyo mtoto wa Osama, marehemu baba yake na wengine wenye misimamo mfano wake ktk uislamu twawaita makhawariji. Ukitaka kujua zaidi kuhusu khawariji na tulivyoelekezwa namna ya kushughulika nao pitia hapa chini...
Gavana Pamoja na kuwa ulichukizwa na Mgen kumzushia na kumtusi nabii Muhammad, mafunzo yetu yatutaka tujadiliane na wakristo kwa hoja, pasi matusi. Ni afadhali kumtukana Mgen kama Mgen lakini si kumtukana Jesus. Mafunzo yetu yatutaka kumuamini na kumuheshimu nabii Issa kwa kumuweka ktk daraja...
Uprofesa kwa Tanzania...
Mtu mwenye masters na akawa anafundisha chuo kikuu huitwa assistant lecturer. Akisoma degree ya uzamivu (PhD) na kuhitimu ataitwa Dr.x na hapo anakuwa lecturer. Kutokea hapo kadiri anavyochapisha (publish) research papers ambazo pia nyingine hutokana na Thesis zake za...
Aisee raia wa Pakistani ni nouma, yaani baada ya ndege vita ya India kutunguliwa na rubani kutua chini, raia walianza kumtwanga kabla ya kuchukuliwa na kuwekwa kwenye mikono salama ya wajeda wa Pakistan. Video ipo kwa link hii hapa chini.
Moment Indian pilot is savagely beaten by locals after...
Huko Ireland zaidi ya mapadri na makasisi 1,300 (elfu moja na mia tatu) walibaka na kulawiti
Over 1,300 Irish priests accused of child sex abuse but only 82 convicted
US group BishopAccountability.org claims 'hiding names of credibly accused child molesters puts children at risk' as it...
Hii ni habari ya jana tu 26 Feb, 2019 ikieleza kuwa ripoti iliyotolewa mwaka 2004 (miaka 15 imepita sasa, haijahisabiwa) na kanisa ilionesha zaidi ya mapadri na makasisi 4,000 (elfu nne) walibaka na kulawiti zaidi ya watoto 10,000 (elfu kumi) wengi wao ni watoto wa kiume.
Halafu eti wewe msomi...
Na hapa mapadri na makasisi 300 huko Marekani pekee ktk daiyosis 6 walibaka na kulawiti watoto zaidi ya 1200 na kanisa likawa laficha, halafu unataka kuongopa eti ni padri 1!
Catholic Church covered up child abuse by 300 US priests: report
Pennsylvania grand jury details decades of abuse of...
Acha uongo Kulawiti na kubaka hakujafanywa na Padri mmoja.
Hii ripoti hapa chini ktk jimbo moja tu la Marekani mapadri na makasisi zaidi ya 70 waliwabaka na kuwalawitiwa zaidi ya watoto 1000
Catholic Priests Abused 1,000 Children in Pennsylvania, Report Says
Victims of clerical sex abuse and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.