Recent content by Mangimeli

  1. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Chumba, sebule na choo vinapangishwa-Mikocheni B

    Du choo nacho kinakodishwa maana naitaji choo peke yake
  2. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    Apo sasa ivi utaskia serikali ya ccm iyo
  3. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Mzee wangu ni mkorofi lakini hajafika huko aisee pole zako
  4. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Ila all in all ndugu ni shida ,na ukiufaulu huo mtiani wa ndugu basi wewe ni mshindi sema mtiani haunaga vyeti,
  5. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Atamtemea mate[emoji12] [emoji16]
  6. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Kwa izo age 41,34,28 watoto wa kike ,bado mzee anauliza waowaji kama wana nyumba,wanafanya kazi sehwmu gani, mhh huyo mzee ni zaidi ya shida
  7. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Wazee wa siku hizi nao sijui ni ukorofi,ata kama kayaona hayo na yeye pia alitakiwa atumie busara akae kimya amtafute mwanae huyo mke akishaondoka ndo amuambie ili hata huyo asielewe kama baba kakwazika alabu jamaa angemuambia tu wife usikunikumbatie mbele ya baba ,alafu anazuga si unajua wazee...
  8. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

    Tatizo la simu za kariakoo wajanja wajanja wengi sana
  9. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    Kwa ufafanuzi wako kuhusu huyo jamaa aliyeuliza ndege inamsaidia nini bibi yake aliyeko kijijni,naomba nikuoe offer ya kinywaji unachotumia mkuu.
  10. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    Uchumi ukiimarika ndo bibi yako kule kijijini atafaidi,
  11. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

    Reaction ipi,ukawa imekufa kifo cha mende chali,sisi tunapiga kazi tu
  12. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

    Ujinga wenyewe ni kuponda hata yale mema yanayotendwa kwa kuona kwamba uyo fisadi wenu mwenye nywele nyeupe angeweza kufanya zaidi
  13. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Radiki yake nywele nyeupe
  14. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ndege za ATCL: Kutoka Uwanja wa JNIA eneo la Tanzania Government Flight Agency

    Hongera sana mkuu wa nchi hao wavimba macho wasikuchoshe na mihemuko mihemuko yao wewe piga kazi mungu yupo pamoja nawe
  15. Mangimeli

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ndege za ATCL: Kutoka Uwanja wa JNIA eneo la Tanzania Government Flight Agency

    We usopopanda watapanda wenzako
Back
Top Bottom