Recent content by Mangilizi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

    Unapatikana wapi boss!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s4 clone inauzwa

    Ni mpya? Bei ya mwisho
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

    Hiyo ni clone? Pics pleasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    Ni kweli kodi zetu zinaliwa, sisi kitaa tumechoka balaa, wabunge wanajadili uozo. Mimi namshangaa mwenyekiti wa bunge la katiba amekua weak sana. Ama kwa sababu waliobakia wote ccm! Watu wanatoka nje ya hoja yeye yupo kimya tu! Wabunge wanasutana yupo kimya! Hawajadili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Be foward Tanzania hamjajipanga, boresheni huduma.

    Pia ukiagiza gari wanachelewa kukutumia! Gari linakaa 2 to 3 months! Mtu analipia February anapata gari yake may! Wamekua ovyo, better to use others.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 7 ya Jaji Joseph Sinde Warioba

    Jaji warioba yupo vizuri!watu hawajadili katiba, hawasikilizi maoni ya wananchi! Nchi inaendeshwa kidictator.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Password yako unayotumiaga boss
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Or format yote,kutakua na apps inayodrain battery.reset ya factory just try it.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

    Iphone phones ni km ina life warrant,haifi kirahisi hivyo.check na ur charger or hard reset
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Huyu Mzee ni kichwa!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu

    unauzaje?na kwa ujazo gani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya self contained, tegeta wazo, imewekwa bati 20 m zinahitajika haraka

    hamna,bei sio mbaya huku mimi ndio ninapoishi.kiwanja kitakua squarter.aweke full details
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya self contained, tegeta wazo, imewekwa bati 20 m zinahitajika haraka

    ipo sehemu gani?elezea maeneo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fuso linauzwa

    Ina number gani? By ze way hamna v8 ikawa ni 18 ton! Kwa knowledge yangu ni 8 to 9 tons, !
  15. M

    JamiiForums Tanzania ideos ndogo na galaxy nexus zinauzwa

    400,000 je ? Cash niambie upo wapi ! Hiyo nexus
Back
Top Bottom