A Burundi army general says senior officers are "dismissing" President Pierre Nkurunziza, amid unrest over his bid to be re-elected to a third term.
Maj Gen Godefroid Niyombareh announced that a national salvation committee had been set up to run the country.
However, it is not clear how much...
Alafu haya magamba badala ya kusikitishwa na namna wanavyofilisi nchi...wanafurahia kuungwa mkono na cdm. wanatambua kabisa kuwa cdm ndiyo kioo chao cha kujitazama. Aibu kwa chama tawala kuongozwa na chama cha upinzani
Tusiwe tunajadili ndoto za mtu anayeota na kuzileta hapa...tujadilini facts. Mtu ameambiwa atoe ushahidi wapi cdm wameungana na ccm kuhusu posho hajasema...hapa tuajadili nini sasa. si ndoto za MAGAMBA na ACT jamani. We unadhani kwa nini CCM wanamuunga mkono ZITTO? Mtu yeyote anayekuombea njaa...
HII SERIKALI YA CCM INASHINDWA KUCHIMBA MITARO YA KUPITISHA MAJI HATA HAPO POSTA(ikulu) KUELEKEZA MAJI BAHARINI...BADO MNATAKA IENDELEE KUTAWALA NCHI. SHEM ON U
Wananchi huwa wanawezeshwa siyo kugawiwa hela. Fanya kazi acha kuhesabu pesa za wanaume wanzotoa. Mfuko wa maafa wa kodi zetu umetoa ngapi?? Hadi unakuja kujadili hela ya mwanaume aliyotoa mfukoni?? Rc katoa ngapi? Dc katoa ngapi, wewe unayepayuka unatoa ngapi?? Mbona wewe unapeleka nyingi...
Mwisho wa ubaya nia aibu. Hata huyu kiongozi wenu mkuu wa usaliti akicheza anaweza asirudi mjengoni......! Wote mnaoshabikia hiyo ngome ya wasaliti ndio ambao mlikuwa mnarudisha maendeleo yetu cdm nyuma. Bora muondoke wote sisi tuelekee ikulu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.