Recent content by mangi jr

  1. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hizi bahati mbona huwa sizipatagi............
  2. mangi jr

    Tatizo kudownload Apps Play store

    Tatzo lipo katika download settings, itakuwa umechagua 'download and updates over wi-fi only. Fungua playstore nenda settings kabadilishe itakubali
  3. mangi jr

    Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

    Hizi takwimu ni Kwa mujibu wa aliyekuwa afisa elimu mkoa Mr Anorld Msuya kabla hajaamishwa. Kwa pale mjini eneo limeshabana mpka pembezoni mwa mji
  4. mangi jr

    Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

    Katoro ni mji unaokuwa Kwa Kasi kutokana na mzunguko wa biashara kuwa mkubwa na pia maisha ya pale sio ghali kabisa ikilinganishwa na miji mingine inayokuwa Kama Kahama na ndio kitu kinachowavutia wafanyabiashara na wateja wengi. Shughuli kubwa ni biashara na madini. Kilichoongeza thamani ya mji...
  5. mangi jr

    Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

    Na hii ndiyo changamoto viwanja viliuzwa Kwa fujo mpka Sasa hakuna eneo la kujenga hata shule hawakukumbuka kuacha open space yoyote ile
  6. mangi jr

    Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

    Kero zipo kibao tu japo wengi wanaogopa kuzisema zote. 1. Ni harufu mbaya wakati wa ku sex. Inaweza kuwa harufu ya mate, jasho au kunako. Harufu hizi zinasababishwa na uchafu japo Kuna wengine ni harufu zao za asili kutokana na hormones n.k Hakuna Raha Kama ukute mamiloo ananukia Ile harufu...
  7. mangi jr

    Wanaume tujiulize baada ya kuruka kule na kule kuna utofauti wa ladha kwa wanawake?

    Vipo vingi mbona 1. Kujtuma na kutoa ushirikiano. Sasa utakuta Mtu anakaa tu Kama anasubir mwendokasi hata hajigusi wa nini huyo? 2. Kujaribu style za kisasa, zipo style kibao za kukufanya ufurahie, missionary, cowgirl, reverse cowgirl, n.k ila unakuta Mtu ye anataka moja tu alale atanue kwa...
  8. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu Uzi kwa jinsi tunavyoufuatilia utadhani kama tumebeti basi tuna swipe kwenda chini kuangalia kama mkeka umetiki mamaee! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama movie vile, uandishi mzuri mno. Una kipaji na unaweza kuandika script ukapiga mpunga mrefu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    We Fala umefanya nicheke peke yangu Ka mwehu.... Inatosha sasa vyombo ntaosha mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi unasababisha yafuatayo. Mosi, kusababisha member wengi kudindisha non stop mpaka kupelekea ' mashine' kuuma, sanjari na hilo uzi huu unapelekea kukojoa mara Kwa mara kutokana na kusimama huko Kwa mpini' Pili, huu uzi umewafanya wengi wajipatie umaarufu Kwa kukagua kila comment na...
  12. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wana wa Kashmir camp walikuwa wanapenda mno kuja kijiwen so nkazoeleka ka mwanaapolo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzee Vladimir sio 2017, hizi mambo zilikuwepo tangu 2005 huko. Nakumbuka nimewahi kuziuza Sana Mererani kule miaka hiyo nikiwa camp moja wanaaita Kashmir Camp, enzi hizo Vladimir na premium vodka zilikuwa zinauzika kinyama pamoja na kuber kabla hazjapigwa marufuku. Nimewauzia Sana wana apolo...
  14. mangi jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii ndio Raha ya ushemeji, next time dadake akiwa mgonjwa atakusaidia na mengine, ila wanakuwaga watamu mno hawa mashemeji Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mangi jr

    Maajabu ya ngono

    Kuna wakati Ngoma inasimama mpka mishipa yote inaonekana halafu kipoozeo kipo pembeni ukicheki Tu unadindisha mpka vuzi halafu eti akwambie ana usingiz unaweza muinamisha hivyo hivyo. Sijui Kwa nini ikisimama akili inapoteaga
Back
Top Bottom