Recent content by Mangi flani hivi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Movie ya Shoga aliyecheza Tino

    Copy and paste from a movie named cover.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya SAUT na UDSM wapi panafaa zaidi kwa kitivo cha SHERIA (LLB)

    IKo namna hii:kila chuo kina koz ambayo ndo inakitambulisha kimataifa. Kwa africa mashariki na hata humu ndani tz, udsm ilitambulishwa duniani kwa kozi ya llb. Tangu miaka ya 70.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ukweli ndege zinazonunuliwa ni mitumba wanafanya marekebisho na kuuziwa kwa bei ya mpya

    Mimi sikatAi ila naomba likija alipande mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ukweli ndege zinazonunuliwa ni mitumba wanafanya marekebisho na kuuziwa kwa bei ya mpya

    Yote aliyosema usiyakubali, je tume ya manunuzi ilijaa?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Usafiri wa magari ya IT kutoka Dar kwenda Zambia /Malawi

    Mkuu achana na hao wendawazimu. Walinikosakosa nilipanda toka Chalinze to dodoma. Sina hamu nao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ndege ya ATCL Boeing 787 - 8 Dream liner unaendelea Mubashara

    Malizeni tuudake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Hakuna maoni hapa, ni kipigo tu.... Shenzi kabisa, mmenda kutalii???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama JPM anazindua miradi yote, hili dude ni la nini sasa??

    Nadhani rais anatosha, hili dude linalozunguka huku Mikoani lizimwe na liwekwe makumbusho. #zimalimwengelenuhilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Mkuu usifike Huko.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Naona vitisho tu, msaada sipati hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Litakuwa la jeshi mkuu??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Genta 'usinikanyagishe'..... Elewa msingi wa swali langu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Mkuu nayaona Mengi yapo standby kwa sasa... Kwani kuuliza ni kosa??? Na Kama anakodisha naamini itakuwa bei rahisi kuliko jangwani.
Back
Top Bottom