Recent content by manger

  1. M

    JamiiForums Tanzania Salam za Pasaka kutoka MSD

    Salam za Pasaka kutoka MSD
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dawa Nchini; Waziri Ummy Mwalimu waambie wananchi Ukweli

    ukiwa unaongea ongea ukiwa na taarifa kamili msikilize Mganga Mkuu wa Tanga akizungumzia upatikanaji wa dawa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hali ya dawa hospitalini ni mbaya sana

    mganga mkuu mkoa wa tanga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hali ya dawa hospitalini ni mbaya sana

    naomba usikilize waganga wakuu wanavyosema kuhusu upatikanaji wa dawa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wamemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa chama Umma Hashim Rungwe

    Hongera jeshi la polisi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dawa Nchini; Waziri Ummy Mwalimu waambie wananchi Ukweli

    Mkuu kwa ufafanuzi ni kwamba Bajeti imeongezeka kutoka Tshs. Bilioni 30 - 2015/2016 Tshs. Bilioni 251 – 2016/2017 Tshs. Bilioni 269 – 2017/2018
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dawa Nchini; Waziri Ummy Mwalimu waambie wananchi Ukweli

    Kutokana na utafiti niliofanya ni vizuri ukatambua kuwa mwarobaini wa upatikanaji wa dawa umekwisha patikana ambao ni kuongeza bajeti ya dawa na kuhakikisha mfumo wa bima ya afya unaboreshwa jambo ambalo Wizara ya Afya inalifanya kwa sasa.Nashauri nawe ufanye utafiti kama wangu, kisha jenga hoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    Hiyo ni noma
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hali ya dawa hospitalini ni mbaya sana

    Ni vituo gani vya afya umetembelea mkuu ninavyofahamu mimi ni kwamba kwasasa hari ya upatikanaji wa dawa imetengamaa tofauti na ilivyokuwa huko nyuma.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji Bidhaa mpya na Used

    Mapics
Back
Top Bottom