Recent content by mangaukawa

  1. M

    Wengi wanaomsifia Rais Magufuli kufukuza fukuza watu hawana sifa za kuajiriwa

    Acha wafukuzwe tu....tumechoka na miungu watu.....yan nyinyi mkishaajiliwa serikalini mnajiona kama raia spesho sana?......."wapumbavu na malofa" wakubwa
  2. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Yeye astaafu au ametimuliwa shauri lake.....aende zake na matakwim yake yasiyo na tija
  3. M

    Rais Magufuli, maendeleo ya nchi sio kubana matumizi ya pesa na kuwawajibisha wezi peke yake

    Hebu mwachen Magufuli achape kazi..........mkiwa hamnashida mnajidai rais wenu Lowassa....yakiwafika shingoni eti magufuli rais wa wote....hiv nyinyi hata aibu huwa hamna au huwa mnajitoa ufahamu?.....
  4. M

    Malecela: Magufuli hatarini

    Mkuu umesema kweli.......mimi mwenyewe nimejiuliza mpaka bas
  5. M

    Magufuli na CCM yao ni wepesi sana mbele ya Lowassa /UKAWA

    Acha uongo, kama angekuwa mwepesi kama unavyojitoa ufaham ndiyo ukawa wangekuwa hawalali?....yaani inashangaza sana hasa kwa watu wenye akili maana wakati kampeni zinaanza tulitegemea sababu ukawa ni vyama vi nne tena vikongwe yaani chadema,nccr,cuf na nld mdogo wao wangefanya siasa za kisayansi...
  6. M

    Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli viwanja vya Majimaji, Songea

    Kabla ya kuandika ni vyema ukafanya uchunguzi kwanza... hivi wewe hujawahi kuona hela zinazotolewa kwa sasa kila kijiji kwa kaya maskini zikiwa ni mradi wa TASAF II, sasa hizo 50m zinashindikana nini?.... Hivi ukawa si ndiyo wameahidi vitu vingi vya bure mbona hayo watu hawaulizi yatawezekanaje...
  7. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Ndugu huyo Lowassa kidole kilishaandika ukutani tayari tangu zamani yaani"MENE MENE TEKELI NA PERESI"
  8. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    wapo pia tulioamua ccm iwe imetusaidia au haijatusaidia, lazima tumpe kura Jembe Magufuli.....
  9. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Ndugu Mungu akikuchagua huwezi kutumia nguvu yan Mungu huwa habaatishi, huyo Lowassa alitaka sana kugombea ndani ya ccm na akatumia nguvu kubwa tangu 1995 akakatwa, mwaka 2000 aliogopa maana mkapa alikuwa raisiu, mwaka 2005 akatamani lakini dini ikamshinda ila akaamua kuungana na jaa yake...
  10. M

    CCM kuzidisha muda wa kampeni, NEC waitupia mpira Polisi

    Kitapelekwa kyenye kamati ya maadili kikishafikishwa na mlalamikaji ambaye ni mgombea wa nafasi husika.
  11. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Aliyekuambia mimi ni CCM nani?., Kumuunga mkono magufuli si mpaka uwe mwanachama wa ccm hivyo mimi Kikwete si mwenyekiti wangu na ccm si chama changu na silisemi hili kwa woga wala unafiki, na kama ningekuwa mwana ccm nisingeona haya ya kusema kwani hata pia kuwa ccm si dhambi.
  12. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Usifanye hivyo Kamanda unaweza kufa ama kuliwa na samaki, yeye hana kundi wa wa kuwapa fadhila sembuse visasi?, hata ua ama kupiga mtu yeye kaziyake ni kuipeleka Tanzania mbele, kiadilifu zaidi.
  13. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Usiharibu kura mkuu, we jipange tumpe kura huyu Jembe halaf hutajuta, watu wanamuhukum kwa makosa ambayo si yake, CCM ki msingi iko vizuri ila ilipata viongozi legelege na ndiyo maana tunaiona ilivyo, sawa pia yaweza kuwa imebadilika hata ki sera ila tunamchagua mtu hapa na si chama, kama...
  14. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Hatujakataa Dr ila huo ni mtazamo wako, pia unaweza kubadilika anya time,karibu.
  15. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Ndugu haina haja ya kuwa na jazba nae huyo maana demokrasia inamruhusu, ila akumbuke sijaona mtu msafi na hata yeye siamini kama ni msafi kiasi cha kumnyooshea mkono Dr, ajenge tu hoja na tutamjibu
Back
Top Bottom