CCM kuzidisha muda wa kampeni, NEC waitupia mpira Polisi

CCM kuzidisha muda wa kampeni, NEC waitupia mpira Polisi

Ukimya wa NEC kukemea Matusi/kashfa jukwaani + kuzidisha muda, Ni credit kwa vyama vya Upinzani maana Malofa/wapumbavu wanajiuliza wangefanya Upinzani ingekuwaje?
 
Viongozi wa ukawa wagawane ajenda zao vizuri:Watakao ongea wawe direct kwenye point. Masuala tata yote yajengewe hoja na mabingwa wa kujenga hoja napendekeza wafutao wapewe kipau mbele katika kufafanua masuala ya msingi:
1. Freeman Mbowe
2. James Mbatia
3. T. A. Lisu
4. Jussa
 
Tunapowaambia NEC ni kitengo cha ccm mnakataa. Utamkemeaje babako? Angalia mkapa alivotukana hadharani juzi, umesikia nec wamesema chochote angalau kwa kujibaraguza?

Wamesema. Kama umewasikia hapo ndipo imetoka kauli blanketi: "NEC yaviasa vyama vya siasa kufanya kampeni za kistaarabu bila kutumia matusi wala vurugu ...". Hata Uhuru na Habarileo yamenukuu.
 
Wamesema. Kama umewasikia hapo ndipo imetoka kauli blanketi: "NEC yaviasa vyama vya siasa kufanya kampeni za kistaarabu bila kutumia matusi wala vurugu ...". Hata Uhuru na Habarileo yamenukuu.

OK ..OK mkuu. Sasa natamani issue ingeanzia UKAWA ungejua kwamba NEC wanajituma sana kikazi na they are for real business! Hapo waliponukuliwa walikuwa wanalialia tu kama kulalamikia mvunguni mwa kitanda. Na yule bwana Lord Lofa pale ndio alitumia lugha ya upole sana, kwao ndivyo wanavyowasilisha hoja. Nimeishi kwao na wanamwona huyo bwana ni aina ya watu wapole sana kule. Nilichanganyikiwa nilipofika mara ya kwanza lakini nikawazoea baadaye. Labda nao NEC wameliona hilo ndio maana wako poa tu maana mzee kaongea ustaarabu wa kwao. Tuchukuliane mizigo jamani.
 
Kitapelekwa kyenye kamati ya maadili kikishafikishwa na mlalamikaji ambaye ni mgombea wa nafasi husika.
 
Back
Top Bottom