Recent content by manga mseke

  1. M

    Rais wangu magufuli nenda bandari ya tanga ukajionee hizo na wizi

    Watu wana lihujumu taifa wnavyotaka wao Hawana hata huruma sijui sio raia hawa watu
  2. M

    Ijue Kamati Maalum ya maridhiano kuhusu uchaguzi Mkuu uliofutwa Zanzibar

    Acha ujinga ww mbona bara ccm walijitangazia ushindi kabla ya tume hawajatangaza na uchaguzi bado uliendelea haujazikwa? Ubongo wako wa kufikiri unaonekana una nyufa katikati
  3. M

    Rais wangu magufuli nenda bandari ya tanga ukajionee hizo na wizi

    Mh rais wangu wa jamuhuri yetu ya tanzania Ninakuomba nenda bandari ya tanga uone maovu yanaotoka pale wanahujumu taifa kwa kupitisha mizigo bila kulipa kodi na wausika wa kuu ni watu wenye asili ya pemba na warabu hupitisha mizigo bila hofu Msiishie bandari ya daresalama tu huku ni uozo mtupu...
  4. M

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Nyie hua mnamuona yule gwajima mzima kweli Ni mtu anaeadanganya kondoo wake kila siku na wao ni kuitikia ndio kama vile vitoto vya bavicha wao nikusema ndio kamanda bila kufikiri neno hilo ni uongo au kweli
  5. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kubenea ni msakatonge watu wamemshika matako sanatu yule mwanaume kalipia chumba na mwanume anemkaza mke wake anakubali si ----- tu kubenea
  6. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kunenea hajaanza kumshambulia zito leo wala jna 80%ya toleo zake za magazeti yote ya mwanahalisi ni zitto
  7. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Hakuna chizi kama kubenea nahisi akili zilimtoka wakati anashikwa nyuma na wanaume waliokua wanamlipia kodi ya nyumba
  8. M

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Dr mwaka ni mjanja mjanja sana Niliona anasema anatibu magonjwa ya kina mama walioshindwa kupata watoto au kushika mimba Lakushangaza dada yake mkubwa hadi leo uzee unamnyemelea ajapata mtoto sijui matibabu yamedunda yule tapeli
  9. M

    Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

    Nilimsikia mbowe alivyokua anahojia na mwandishi yule kwa kweli niliona kma vile kapoteza kumbukumbu Unaweza kumtofautisha. Muhongo na lowasa? Au mwakyembe na sumaye ujinga uluopitiliza ni nyumbu tu ndio anaweza kubaliana nae
  10. M

    Siku upinzani ukikomaa vijijini CCM itakufa kabisa.

    Mbona wabunge wa upinzani wengi ni wa vijijini? Au bichwa yenu aifanyi kazi ya kufikiri?
  11. M

    Halotel yasababisha Wizara ya Mawasiliano kuunganishwa na Makamba kuikosa

    Kwanza mda wa maongezi unapata mwingi kuliko Vida. Tigo. Airtel Wa tanzania tunataka wanaotujali tu
  12. M

    Halotel yasababisha Wizara ya Mawasiliano kuunganishwa na Makamba kuikosa

    Halotel kwa sasa nimtando bora kabisa mm kapuku najali kupata mawasiliano yaliobora tu Hata network yake ipo bomba ni mtamdao umeenea vijijini zaidi kuliko mjini Nawapa hongera kwa hilo
  13. M

    Mapinduzi ya uchumi wa viwanda duniani na ndoto za Rais Magufuli

    Hii ni changamoto kubwa kwa Tanzania kufikia malengo ya milenia ya kupunguza idadi ya watu wanaoishi katika umuasikini wa kupindukia ifikapo mwaka 2015. Ili malengo ya timie inatakiwa uchumi ukue kwa wastani wa asilimia 3.8 hadi 4.5 kwa mwaka, mpaka ifikapo 2015 Nimuhimu kutilia mkazo elimu...
  14. M

    Mwanahalisi lawatusi Dr. Slaa na Lipumba

    kicwani kwa huyu nyumbu zinafanya kazi matusi yote utafikiri wamemkata shindig mama yake kama uchungu na kubenea kazae
Back
Top Bottom