Rais wangu magufuli nenda bandari ya tanga ukajionee hizo na wizi

manga mseke

JF-Expert Member
Jan 30, 2015
470
90
Mh rais wangu wa jamuhuri yetu ya tanzania
Ninakuomba nenda bandari ya tanga uone maovu yanaotoka pale wanahujumu taifa kwa kupitisha mizigo bila kulipa kodi na wausika wa kuu ni watu wenye asili ya pemba na warabu hupitisha mizigo bila hofu
Msiishie bandari ya daresalama tu huku ni uozo mtupu wizi uliokithiri kabisa
 
Sasahivi bandari ya tanga ndo eneo inapita bila kulipa kodi za serikali hasa sukari,containers na mafuta
 
Wazee miaka nenda rudi wapo bandarini pale tanga hawana ubunifu wizi tu TANGA NZIMA GOROFA NDEFU NI YA BANDARI GHOROFA TISA MJI UNAPWAYA KWAKUKUMBATIA UBWENYENYE
 
Bandari ya Tanga kuna WIZI mkubwa unaofanywa na Clearing agents na watumishi wa bandari na wenzao wa TRA,yaani Tanga unaweza kufungua clearing and forwarding agent leo baada ya miezi SITA wewe ni tajiri mkubwa tu,kwa sababu ya kucheza madili ya kukwepa kodi.

Pia boda ya HOROHORO nayo imeoza kwa RUSHWA kuanzia TRA na wenzao wa UHAMIAJI wote wanapiga DILI zao,mpaka inafikia hatua huwa nawaza au hizo dili zao zipo kwenye JD (Job descriptions) zao.
Njoo mheshimiwa MAGUFULI au mheshimiwa MAJALIWA upambane na majangili wa uchumi hawa.

Mh rais wangu wa jamuhuri yetu ya tanzania
Ninakuomba nenda bandari ya tanga uone maovu yanaotoka pale wanahujumu taifa kwa kupitisha mizigo bila kulipa kodi na wausika wa kuu ni watu wenye asili ya pemba na warabu hupitisha mizigo bila hofu
Msiishie bandari ya daresalama tu huku ni uozo mtupu wizi uliokithiri kabisa
 
Laana kubwa kwa Taifa lililobarikiwa na Mungu mwenyezi kuwa moja ya Taifa maskini duniani despite all the blessings
 
Watu wana lihujumu taifa wnavyotaka wao
Hawana hata huruma sijui sio raia hawa watu
 
Back
Top Bottom