Recent content by manedo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Msonde wa NECTA atia nia Jimbo la Ulyankulu

    ametia nia ugambani...a.k.a ccm
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Msonde wa NECTA atia nia Jimbo la Ulyankulu

    Nimemwona huku jimboni Ulyankulu,akiwa ni mtia nia wa ugombea ubunge kwenye jimbo hili jipya lililogwanya kutoka jimbo la Kaliua mkoa wa Tabora. Swali: Kusema sasa tayari ameacha kazi NECTA au ana likizo? Nisaidieni maana naona sasa kama nafasi yake iko wazi mimi nipige jalamba!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kunywa maji mengi

    wadau napenda kujua je kuna madhara ukinywa maji mengi? mimi nakunywa maji kwa siku kama lita nne hvi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    kwanza nikupe pole mtoa post kwa kuonesha kuwa waalimu kama vile ni watu wa bei cheee. kimsingi kazi ya uandikishaji ina changamoto nyingi sana na kuwalaumu waandikishaji ni kupoteza muda tu... nakumbuka mimi kazi hii nimeifanya nikiwa kama Assistant Registration Officer ( ARO) kuna muda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    mwambie aende kwa gwajima wakale malimao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Mkoa wa Mara kuna busara ya hali ya juu hakuna unafiki

    ila kapost haka kanaukweli sana. watu wa mara ni wazuri sana .....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    hahaha yaaani wewe unavyofikiri .....nadhani unashida fulani kwenye kichwa chako... hivi unataka kuniambia ikulu ndo hufanya kazi ya kuandaa rais ajae? eti alipewa ujenzi wa barabara ili wananchi waone kaleta maendeleo? kwa kweli jf siku hizi ina watoto wa chekechea....sasa sio jukwaa la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

    uongo, uzushi na mengineyo yatakufikisheni jehanamu....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

    jf leo mnachokifanya siyo kabisa hata wageni wanapaswa kutembea humu....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba uko palepale

    uchaguzi hautakuwepo anayebisha akalale
  11. M

    JamiiForums Tanzania Peving blocks za kijanja kwa bei nafuu

    Wakuu Nina peving blocks za kijanja na bei nafuu pia cement blocks size zote Kwa anayehitaji awasiliane nami kwa 0786582077 hmushi06@gmail.com Niko Kaliua mkoani Tabora.........
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM Uchaguzi Ujao ni hii

    hahahahaha hadi rahaaaaaaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Mlimani City

    hahahahahahahahaha utumwa wa lugha halafu katika nchi yako .......hatari sana.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Tanzania ijifunze toka Mdahalo wa Kenya!

    ni wazo zuri na la maana sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    ntamkumbuka kwa safari nying za nje
Back
Top Bottom