Recent content by mandule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ps3 au ps4

    Me pia nahitaji PS4 budget tsh. 500,000/=
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Mwenye matokeo ya Kahama. ...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na benki za Mlimani City - DSM

    Bank teller wewe, tena wa CRDB au NBC Mlimani city
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mercedes G 63 AMG 6*6 sold out, Naam

    Kwa hiyo akiijadili bulldog ndio iko bora? G-class is the beast!
  5. M

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mmenikwamisha, mmenikera, mmenidhalilisha sana

    Tafsiri ni kuwa kila ATM inahudumiwa na tawi husika. Sababu ya kuambiwa aende Mlimani city ni kuwa ATM ile inahudumiwa na tawi la Mlimani city. Sio mahali ulipofungulia Account mkuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

    Hapo hujaelewa nn? Ni 168,000 sio 142,000 tena!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

    Ni 168,000 hicho ni premium hakiitwi Explora. Kama umelipa kwa Mpesa, Tigopesa. ..etc. Ongeza hiyo tofauti 26,000 tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Pensheni za April, Mei na Juni? Kumbe wanapewaga advance kabisa? Na huu mwezi si ndio ulikuwa na sikukuu wiki nzima? Mbona kama naona watu wanaonewa hapa......au ndio majungu ya kina NNSF na LAPF....anayejua mfumo wa pensheni wa PSPF hawezi ongea haya....nina mama nesi amestaafu....wenzie...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Kuna walimu wangu wawili wa mkoa wa Singida wamestaafu toka Oktoba 2014, mpaka leo hawajalipwa mafao yao. Hili shirika halina huruma hata kidogo, kumbuka wastaafu hawa hawana mshahara. PSPF ni janga kabisa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata mafao ya PSPF

    PSPF hao hawajalipa mafao ya kustaafu wastaafu kibao toka Oktoba 2014. Mtu amestaafu toka Oktoba 2014 mpaka leo anaishije???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wasaidizi na Walinzi wa Gwajima wakamatwa na Polisi

    "Na ajiokoe mwenyewe. ..."
  12. M

    JamiiForums Tanzania Black note 3 kwa 450000 inatakiwa leo

    Note 3 kwa 450k, Kila mtu angekuwa nayo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shirika la BRAC liko wapi?

    Huna shida wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shirika la BRAC liko wapi?

    Piga +255763058509
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kibonde kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Duh! Kweli kibonde ni "kibonde"
Back
Top Bottom