Hoja hii na kitabu/chapisho lake imekaa kinafiki na kidini zaidi na wala haina mashiko, kama wewe una miliki shule na mimi namiliki ya kwangu iko wapi logic ya kulalamika kuwa eti shule yako unaiendesha vizuri kuliko ya kwangu? Kama issue ni ufadhili toka kwa mkoloni, Waarabu walikuwa watawala...
Huyu mwanafunzi asiyefanya mitihani ni mwanafunzi au mvuvi wa dagaa. Mbona hata University wanachuja? Ni shule gani isiyopima wanafunzi kwa mitihani? Usiwe na wivu. Shule za kikatoliki zinafanya vizuri hilo liko wazi
Yaani kurusha tu ndo iwe gharama yote hiyo? A mere UAV platform flying ndo kuwe na gharama zote hizo? Kwanza kurusha huko ni kwa ajili ya kupata nini, kusafirisha mizingo, UAV photogrammerty, au kuchukua picha kwa ajili ya waandishi wa habari? Gharama hii inacover data processing and analysis...
Siku zote mwizi huacha alama ambayo hata yeye baadae hushtuka na kuanza kujilaumu, "Ayaaa, nilisahauje tena?'' Hili la huyu dada aliyekuwa gerezani limewaumbua na kuweka wazi kila kitu.
Sogea kwenye kaburi la Mgabe kamuulize kuondolewa kwake madarakani kulitokana na nini, naye atakuambia ni wananchi wakishirikiana na majeshi hayo hayo ambayo unasema hawawezi kukosa mkate
Hawa ndo chanza cha lindi kubwa la incompetent lawyers product ya UDSM. Majigambo haya hayana tofauti na vichekesho vya tajiri la Kigoma, wa kukurupuka ,yule jamaa wa Futuhi Star Tv.
Unatengeneza clip ambayo maaskari polis wakionekana humo kwa utambulisho wa sura na namba zao za kazi. Halafu polis hawa wa kwetu wenye inteligensia kali ya kunasa wakuaje hivi hivi? Kweli akili za mafiem anajua tuzitwist yule bwana anayeitwa Harakaharaka wa pale Lumumba. Kuweni na hata chembe...
Upupu. haya nenda kwa harakahara, mwambie tayari umefanya kazi akupe buku saba. Huna hata aibu, huo haukuwa uchaguzi, wizi wa kura mioufanya umeondoa hadhi yenu hata ile kidogo iliyokuwa imebaki. kila mtu anajua mmepora haki ya watu kuchagua.
Tell your fake author to discard that unprofessional analysis (some scholars used to term as professorial rubbish) at Lumumbe next to Harakaharaka office
Baada ya kushiba ugali na maharage unasumbua sumbua humu eti, unasahau ukiumwa hata malaria tu pale Sinza hospitali unakutana na jengo lililojengwa kwa msaada wa Japan/Korea, Magari ya wagonjwa USAID/UKAID, Ukienda Mwenge unakutana na Wajapan Wakijenga Barabara kwa hela yao(Msaada).
Hicho...
Wewe hauko sawa, Iran juzi hapa walikuwa wanalia na kuomba sanctions ziondolewe, na wewe unaibuka na utopolo na bakuli lako mkononi ukiomba msaada kwa hao hao. Yule generali wa Iran aliuliwa na watu gani vile! US ni taifa jingine mkuu likiamua leo hao mliwapandikiza kwa kura feki hawezi kukaa...
Hata aibu huna, hayo makaratasi (mnayoyaita ya kura ) aliyopigwa na huyu Harakaharaka wako pale Lumumba na mengine yakadakwa na kuzagaa mitaani, akina mama wakiyafungia vitumbua ndo wewe unayaita maamuzi ya wengi? Tuna taarifa zote za kulazimishwa kwa walimu (waliosimamia huo uchafuzi) kupitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.