Naomba kujua mchango wa Wamisionari katika maendeleo ya elimu Afrika

LGF,
Unazungumza jambo usilolijua.

EAMWS leo tena si muhimu kwa Waislam ila kueleza ule ukweli kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu na hili halikutakiwa ndiyo yakapitishwa yaligopita.
Don't be daft. Chuo Kikuu cha Waislamu kimejengwa na Benjamin William Mkapa, Mkiristo, kawanyanganyaTANESCO shule ymao ya Engineering pale Msanvu Morogoto. Naona wewe ni mbux3 hujui mambo. Njoo ofisini pale Faya nitakupa kitabu cha Mohamed Said. Unajua Kiingrezq? Kinaitwa THE LIFE AND TIMES OF ABDUKWZHEED SYKES. Kinaeleza jinsi gani Agha Khan alitaka kutuuzia mbuzi guniani kama alivyovunja India na Pakistan ila Wazee wetu Waislamu wakakataa. Hujui historia, kama kimya.

Nipe Dunihaji.
 
I Love Girls,
Nakuwekea hapo chini niliyoandika kuhusu Wamishionari na Elimu kama nilivyoeleza katika kitabu changu, ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'' (1989).

Nimehariri hapa na pale kidogo ili msomaji aelewe somo tunalojadili:

''
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu.

Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma.

Herufi walizokuwa wakitumia zilikuwa za Kiarabu.

Wajerumani kwa ajili hii basi waliwaajiri Waislam kama walimu, wakalimani na makarani serikalini. Wamisionari na wakoloni waliona wivu kwa maendeleo haya waliyoyakuta kwa Waislam.

Kubwa zaidi ni kuwa walikuwa wamekuja kustaarabisha watu ''Washenzi' badala yake wamewakuta watu walistaarabika na wanye utamaduni wa kupendeza.

Elimu hii yote na utamaduni huu wa hali ya juu ulikuwa unatokana na Uislam na shule zake za ndani ya madrasa.

Hapo ndipo zilipoaanza mbinu ya kuvunja maendeleo haya yote.

Herufi za Kiarabu zikapigwa marufuku kutumika na badala yake watu wakalazimishwa kujifunza herufi za Kirumi.

Muislam ambae jana alipoingia kulala alikuwa anaitwa ameelimika akaamka asubuhi yake mjinga, hana elimu, hajui kusoma wala kuandika.

Njama hizi zote dhidi ya Uislam ilikuwa sehemu ya makubaliano kama ilivyoandikwa katika kifungu IV cha Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884.

Kifungu hicho kilikuwa kinasema kuwa Ukristo ni lazima ulindwe dhidi ya Uislam.

Kati ya mwaka 1888 - 1892 katika kutekeleza kifungu hicho kama ilivyokubalika katia Mkutano wa Berlin, Imperial British East Africa Company ilitumia nguvu za kisiasa na kijeshi kuulinda Ukristo katika Afrika ya Mashariki.

Ombwe lililoachwa na elimu ya Kiislam ikajazwa na elimu ya iliyokuwa inatolewa na Wamishionaro katika kanisa chini ya usimamizi wa Waingereza.

Wengi wanaamini kuwa kanisa kuwa lenyewe ndilo lililoweka msingi wa kwanza wa elimu Tanganyika.

Ukweli ni kuwa Wamisionari walifuata nyayo za madrasa na walimu wa kwanza katika shule za misheni walikuwa Waislam ambao hawakusoma katika shule za kanisa bali katika madrasa.''

Sasa kama wamisionari wa wajerumani walifuta nyayo za waislam Tanzania, je, ilikuwaje katika nchi ambazo hazikuqa na waislam kabla kama Namibia, Kamerun na Togo?
Nchi hizi na zenyewe zilikuwa colonized na wajerumani na walipeleka wamisionari huko pia.
 
Umepandwa na ghadhabu.

Ikiwa umehamaki huwezi kufanya mjadala hasira zinatawala fikra zako na kunapelekea kutoa lugha zisizopendeza na kuandika ovyo.

Rejea maandishi yako hili litakudhihirikia.

Kawaida yangu ninapoona mtu ameghadhibika mimi husimama nikasubiri hasira zake zipoe.
 
Maneno,
Hapa tunajadili yale yaliyotokea Tanganyika.
Ukifananisha na yalitotokea kwengine tunakuwa tumetoka katika mjadala wetu.

La unataka tujadili yale yaliyofanywa na Wajerumani Namibia au hata Poland fungua uzi mpya nitakuja In Shaa Allah.
 
Sikiliza mkuu tatizo la mchango wako ume base sana katika uarabu na uislam na mimi nakuambia kuwa sioni kama ni busara na wazo zuri kufanya hivyo.

Ndiyo inawezekana kuwa kweli Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika na kusoma kiarabu na vile vile walikuwa wameelimika katika mambo ya mahesabu, sawa hata mimi nakubaliana na hilo, lakini sio katika herufi za kirumi kama ulivyosema. Lakini hata hivyo naomba utambue kuwa ni wazungu wote na sio wajerumani tu ndiyo walio tenda vitendo hivyo ulivyo visema vya kuwaona watu walio watawala ni wajinga na watu ambao hawajastaaribika, lengo lao hapa lilikuwa moja tu, total defamation and intimidation ili kufuta kila kitu ambacho sisi tulikuwa nacho na kukijua.

Kwote wazungu waliko kwenda hawakuyakuta manyani na masokwe, bali waliwakuta watu ambao wana cultures zao na maisha ambayo yalikuwa well organised. Hawakuwakuta wale walio kuwa wanaweza kusoma na kuandika kiarabu tu peke yao bali hata wale ambao hawakuwa na uwezo wa kusoma na kuandika kiarabu na kupiga mahesabu. Huwezi ukaniambia kwamba Tanganyika yote ilikuwa na watu ambao walikuwa wana uwezo wa kuandika na kusoma kiarabu na kufanya mahesabu tu?

Jibu ni hapana. Wakoloni wote waliüo vamia nchi za kiafrika na Amerika walihakikisha wanavuruga kila kitu ili wao wajiweke kwenye position ya kuwa rulers na sisi kwenye position ya watawaliwa. Ustaarabu wetu haukufaa tena na wala haukuwa kitu.

Kitu kingine ambacho ningependa ukifahamu ni kwamba, kustaarabika sio tu kuishi maisha ya kizungu au kiarabu, bali ni kitendo cha wanajamii kuishi kwa amani na kuweza kuwasiliana, kubadilishana mawazo na kuheshimiana baina yao na clans au makabila mengine bila kufanyiana vitendo vya kinyama vya kuuana ovyo, kama wazungu walivyo fanya baina yao kabla ya Berlin coference mwaka 1884 na baada ya mwaka 1914 ya World War 1.

Ustaarabu sio tu kujua kiarabu na uislam bali ni mwenendo mzima wa binadam kuishi katika amani na mpangilio mzuri wa kuendesha maisha yao katika kijamii.

Ukiuangalia mlolongo mzima wa maisha ya waarabu na uislam wao unao usifu utaona na kutatambua kuwa hata wao hawakuwa wasataarabu ki hivyo kama unavyo dhani au kuamini, kwani nao hawakuja kwetu Tanganyika kwa nia njema bali walikuja kwa mission. Walitusulubu sana sisi waafrika na kutufanya kuwa watumwa wao. Naona kwenye hii part umeisahau, nafikiri!

Zaidi ya hayo nakuomba chukua time kuiangalia hii documentary ili ujifunze zaidi jinsi gani Mnegro alivyo weza leta maendeleo ya kweli duniani ambayo wewe hivi sasa unayaona kama ni ustaarabu ulio letwa na waarabu na uislam wao au Caucasians na ukristo wao.

Na plaese, achana na historia za kupumbaza akili ulizo zisoma kwenye vitabu vilivyo andikwa na Caucasians, hiyo ni historia fake. Hiyo ni historia ambayo wao wali dictate mambo gani mazuri wayaandike na mambo gani wasiyaandike. Wapindisha historia lwa kadri walibyo ona inawafaa wao.

Mwisho naomba utambue pia kuwa Mwarabu sio Mmisri na wala sio Mnegro bali ni mtu mwenye asili ya ki-Caucasian!
 
Kwani hairuhusiwi kutafiti kuhusu Uarabu na Uislam pwani ya Afrika ya Mashariko na mtu akaandika?

Mbona kote tumesomeshwa historia ya Ulaya na kuhitimu hata baada ya uhuru?

Ila hii yetu wenyewe ndiyo tu isiyotakiwa?
 
Don't be daft. Chuo Kikuu cha Waislamu kimejengwa na Benjamin William Mkapa, Mkiristo, kawanyanganyaTANESCO shule ymao ya Engineering pale Msanvu Morogoto. Naona wewe ni mbux3 hujui mambo. Njoo ofisini pale Faya nitakupa kitabu cha Mohamed Said. Unajua Kiingrezq? Kinaitwa THE LIFE AND TIMES OF ABDUKWZHEED SYKES. Kinaeleza jinsi gani Agha Khan alitaka kutuuzia mbuzi guniani kama alivyovunja India na Pakistan ila Wazee wetu Waislamu wakakataa. Hujui historia, kama kimya.

Nipe Dunihaji.
Huyo unayejibizana nae, hujui ndio Mohamed Said mwenyewe mtunzi wa hicho kitabu.
 
Idiot...
Ndugu yetu alikuwa kapandwa na hasira hakuwa katika hali ya kuweza kufikiri na kuandika.

Ndiyo nikamshauri atulie kwanza.
Naona alikuwa ameghafilika.

Nje ya maada. Naomba utuletee siku moja historia na mtazamo wako juu ya sera ya ujamaa na kujitegemea. Ugusie mambo ya vita dhidi ya wahujumu uchumi na kupangwa kwa vijiji.

Hapa kuna mengi ya kujifunza kwa sisi vijana. Kama kuna vitabu unavijua, tofauti na vingi ambavyo viko biased unaweza kutuelekeza tunakoweza kuvipata.
 
Hoja hii na kitabu/chapisho lake imekaa kinafiki na kidini zaidi na wala haina mashiko, kama wewe una miliki shule na mimi namiliki ya kwangu iko wapi logic ya kulalamika kuwa eti shule yako unaiendesha vizuri kuliko ya kwangu? Kama issue ni ufadhili toka kwa mkoloni, Waarabu walikuwa watawala wa Zanzibar, walishindwa nini kuanzisha mashule huko Unguja na Pemba na kuyamwagia Pesa za kuyaendesha ikiwa ni pamoja na madrasa then wakabinya fursa hiyo kwa shule za wamissionary zilizokuwza visiwani kama vile walivyofanya wenzao(Wajerumani na Waingereza) huku bara?
 
I Love Girls,
Nakuwekea hapo chini niliyoandika kuhusu Wamishionari na Elimu kama nilivyoeleza katika kitabu changu, ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'' (1989).

Nimehariri hapa na pale kidogo ili msomaji aelewe somo tunalojadili:

''
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu.

Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma.

Herufi walizokuwa wakitumia zilikuwa za Kiarabu.

Wajerumani kwa ajili hii basi waliwaajiri Waislam kama walimu, wakalimani na makarani serikalini. Wamisionari na wakoloni waliona wivu kwa maendeleo haya waliyoyakuta kwa Waislam.

Kubwa zaidi ni kuwa walikuwa wamekuja kustaarabisha watu ''Washenzi' badala yake wamewakuta watu walistaarabika na wanye utamaduni wa kupendeza.

Elimu hii yote na utamaduni huu wa hali ya juu ulikuwa unatokana na Uislam na shule zake za ndani ya madrasa.

Hapo ndipo zilipoaanza mbinu ya kuvunja maendeleo haya yote.

Herufi za Kiarabu zikapigwa marufuku kutumika na badala yake watu wakalazimishwa kujifunza herufi za Kirumi.

Muislam ambae jana alipoingia kulala alikuwa anaitwa ameelimika akaamka asubuhi yake mjinga, hana elimu, hajui kusoma wala kuandika.

Njama hizi zote dhidi ya Uislam ilikuwa sehemu ya makubaliano kama ilivyoandikwa katika kifungu IV cha Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884.

Kifungu hicho kilikuwa kinasema kuwa Ukristo ni lazima ulindwe dhidi ya Uislam.

Kati ya mwaka 1888 - 1892 katika kutekeleza kifungu hicho kama ilivyokubalika katia Mkutano wa Berlin, Imperial British East Africa Company ilitumia nguvu za kisiasa na kijeshi kuulinda Ukristo katika Afrika ya Mashariki.

Ombwe lililoachwa na elimu ya Kiislam ikajazwa na elimu ya iliyokuwa inatolewa na Wamishionaro katika kanisa chini ya usimamizi wa Waingereza.

Wengi wanaamini kuwa kanisa kuwa lenyewe ndilo lililoweka msingi wa kwanza wa elimu Tanganyika.

Ukweli ni kuwa Wamisionari walifuata nyayo za madrasa na walimu wa kwanza katika shule za misheni walikuwa Waislam ambao hawakusoma katika shule za kanisa bali katika madrasa.''

Hivi hujisikii AIBU kuandika UONGO mkubwa namna hii ewe Babu na utu uzima wote huo?
 
Mzee Mohamed ni gwiji kwenye mambo ya historia hasa ya Tanganyika.
Kupitia majibu yake kuna kitu nimefahamu.
MWONGO huyu, mbona namwoneshaga uongo wake anaouandika humu

Kwahiyo hii ni kweli?
Screenshot_20210128-173648.jpg
 
Nilipoona tu jina la Mohamed Said nikajua ataandika uongo wa kutosha humu kuutetea uislam wa Mwamedi na kuuponda ukristo

Hata kwa mtoto wa darasa la 3 huwezi kumdanganya eti wajerumani walipokuja waliwakuta waislam wanajua kusoma kuliko wakristo na wakawaajiri hao

Labda kama ni kusoma juzuu na yale maandishi ya kurudi kinyumenyume.

Yaani watangulie kusoma halafu kina nani wacheze bao na kuoa wake wanne wanne?

Baada ya kusoma waliitumiaje elimu yao? Wakati hata upatikanaji wa Uhuru aliengineer Nyerere na waajiriwa katika sekta za umma walijaa wakristo?

Unafikiri ule uongo na uzushi unaoongeleaga kule kwenye redio zenu Nur na Imaan ndio utakaouleta huku halafu tuupokee tu.

ACHA UONGO, Umri umeenda.
 
LGF,
Unazungumza jambo usilolijua.

EAMWS leo tena si muhimu kwa Waislam ila kueleza ule ukweli kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu na hili halikutakiwa ndiyo yakapitishwa yaligopita.
Kama halikutakiwa mngepewa bure lile jengo la TANESCO pale Morogoro mlifanye kuwa Chuo Kikuu???

Tena aliyewapa ni Kafiri Hayati Mh. B.Mkapa uliyekuja kumponda na kumuandika vibaya humu

Wallah kuna Waislam WANAFIKI SANA.

kazi kulalamika tu kila siku kama wajane.

Wabillah Tawfiq,
 
Sasa kama wamisionari wa wajerumani walifuta nyayo za waislam Tanzania, je, ilikuwaje katika nchi ambazo hazikuqa na waislam kabla kama Namibia, Kamerun na Togo?
Nchi hizi na zenyewe zilikuwa colonized na wajerumani na walipeleka wamisionari huko pia.
Usimwamini huyu Mzee na Porojo na Uzushi wake, huwa anaandika uzushi na uongo mtupu...ukimbana kwa maswali hapa ataanza kukuambia unamvunjia heshima
 
LGF,
Umepandwa na ghadhabu.

Ikiwa umehamaki huwezi kufanya mjadala hasira zinatawala fikra zako na kunapelekea kutoa lugha zisizopendeza na kuandika ovyo.

Rejea maandishi yako hili litakudhihirikia.

Kawaida yangu ninapoona mtu ameghadhibika mimi husimama nikasubiri hasira zake zipoe.
Mzee, usianze kuandika andika kinafiki kwa kujifanya kupooza uongo wako

Usiwe kama mwanamke wa pwani aliye katika eda bado na majonzi tele ya kufiwa na Mumewe

Laaanatullah,
 
Naona alikuwa ameghafilika.

Nje ya maada. Naomba utuletee siku moja historia na mtazamo wako juu ya sera ya ujamaa na kujitegemea. Ugusie mambo ya vita dhidi ya wahujumu uchumi na kupangwa kwa vijiji.

Hapa kuna mengi ya kujifunza kwa sisi vijana. Kama kuna vitabu unavijua, tofauti na vingi ambavyo viko biased unaweza kutuelekeza tunakoweza kuvipata.
Idiot...
Bahati mbaya sina ujuzi wa siasa za ujamaa na kujitegemea.

Hayo hapo chini ndiyo niliyopata kuandika hadi sasa unaweza kuniuliza lolote katika hayo:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  6. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
  7. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
  8. Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
  9. Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
  10. Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
  11. The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
  12. Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
  13. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  14. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  15. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  16. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  17. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  18. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  19. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  20. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  21. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  22. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  23. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  24. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  25. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  26. Awards: Several Awards
  27. Visiting Scholar: (2011)
  28. University of Iowa, Iowa City, USA
  29. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  30. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
 
Hoja hii na kitabu/chapisho lake imekaa kinafiki na kidini zaidi na wala haina mashiko, kama wewe una miliki shule na mimi namiliki ya kwangu iko wapi logic ya kulalamika kuwa eti shule yako unaiendesha vizuri kuliko ya kwangu? Kama issue ni ufadhili toka kwa mkoloni, Waarabu walikuwa watawala wa Zanzibar, walishindwa nini kuanzisha mashule huko Unguja na Pemba na kuyamwagia Pesa za kuyaendesha ikiwa ni pamoja na madrasa then wakabinya fursa hiyo kwa shule za wamissionary zilizokuwza visiwani kama vile walivyofanya wenzao(Wajerumani na Waingereza) huku bara?
Mandolo,
Umetoa hoja nzuri na tunaweza tukafanya mjadala ila kwa moja.

Huwa mzito kuingia katika mjadala na mtu ambae lugha yake haina staha.

Njoo na hoja kistarabu tufanye mjadala ambao sote tutanufaika.
 
Mohamed Said,

..shule za sekondari za Bakwata hazitoi matokeo ya kuridhisha.

..kungetafutwa mkakati wa kuziboresha shule hizo kwani wapo Waislamu wengi wanazitegemea.
 
JK
BAKWATA ni katika matatizo makubwa waliyopata kukutananayo Waislam wa Tanzania.

Kwa zaidi ya nusu karne Waislam wamekataa kuikubali BAKWATA kama taasisi yao.

Naamini hili si jambo geni kwako lazima utakuwa unalijua na kwa nini wameikataa naamini sababu unazijua.

Kwa ajili hii basi Waislam wamejiweka mbai sana na BAKWATA.

Mwanzoni mwa miaka ya 1980 vijana wa Kiislam kupitia taasisi ya Warsha waliweza kujipenyeza katika uongozi wa BAKWATA kwa nia ya kuboresha shule zake, Kinondoni, Kibohehe na Jumuiya kwa kuzigeuza kuwa Seminari za Kiislam.

Shule hizi zilibadilika na kwa mara ya kwanza matokeo ya mitihani ilitia fora.

Pamoja na mabadiliko haya Warsha iliandika waraka kwa Waislam wa Tanzania kuonyesha hali yao ya elimu toka uhuru mwaka wa 1961.

Serikali ilikuwa inashutumiwa kwa kukosa uadilifu.

Waraka huu ulishtua si serikali peke yake bali hata Waislam wenyewe.

Hii ilikuwa mwaka wa 1981.

BAKWATA ikajikuta inagongana na serikali iliyounda taasisi hiyo.

Vijana wa WARSHA waliokuwa BAKWATA wakafukuzwa BAKWATA pamoja na Katibu Mkuu wa wakati ule Sheikh Mohamed Ali.

Kosa lao likiwa kuliweka jambo nyeti hadharani.
Ninakuandikia kwa kifupi kwani ni kisa kirefu.

Kuanzia wakati huo hadi hivi sasa Waislam wanajitahidi kujenga shule zao nje ya BAKWATA na kujiletea maendeleo yao hawajishughulishi na BAKWATA kwa jambo lolote sababu kubwa ni kuwa taasisi hiyo haikuasisiwa na wao wenyewe Waislam bali na serikali mwaka wa 1968.
 
Back
Top Bottom