Kiukweli tume - enjoy sana na season one,pia natumai itakua hivyo hata kwa season two,lakini pia utaanza kuweka lini mzigo?
Na mwisho hongera kwako kwa kutuletea mzigo wa maana kama huu.
Kwenye mkutano wa JWTZ na vyombo vya habari walisema jeshi haliajiri lakini linaandikisha,kama hujaajiriwa na umeandikishwa tu ndo chanzo cha kutelekezwa.
lakini jwtz kutelekeza komando haijakaa sawa.
pia komandoo kukamatwa/kutekwa kama kuku kuna siku hao polisi watapata wakinachokitafta,
hebu...
Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kusema:
"kama tutaanza kunyosheana vidole kua huyu kafanya hiki na yule kafanya hiki!
Je ni nani mwana CCM msafi?"
Asubuhi J.Makamba na UMEME,
Mchana D.Biteko na MADINI
Usiku nani yule...aahy wa MAJI
Kesho wa mazingira...
bado machinga,
yule anasema S.Siro na vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.