Ikiwa km uliyeko Tz na unakijua hicho kijiji ila kukipigania kwa ajili ya maslahi yake huwezi,afha ambao hawakijui na wanaweza kukipigania pasi na kukijua wafanye hvy
Tume imeonyesha umakini kwa sbb watanzania bara wengi walitoa maoni ya kuendelea na serikali 2 kwa sbb walikuwa hawajui yanayoendelea Z'bar.Lkn kwa kupitia taarifa ya Tume waTanzania bara ndo wameanza kujua ss..Kwa nn CCM watumie ujinga wa wingi wa watanzania bara kutekeleza matakwa yao??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.