Kaka mfano wa UAE unaingiaje hapa? Huko unaenda kwa passport, je Zanzibar unaenda kwa passport mkuu? Yule mbunge alisema hivo alidai nida wengi hawana unaleta usumbufu, ni kheri watumie vitambulisho vya Zanzibar mana wanavyuo Sasa hapo kaonyesha ubaguzi gani mkuu? Shida tunakuza sana mambo...
Huyo alieongea Hana mamlaka yoyote, alikua waziri akajiuzuli tangu kipindi hicho anawashwa na hasira, za kukaa njee ya mfumo, huyo alijiuzuru Ile inshu ya pombe kuadimika zenji ka sikosei, alafu mwinyi nae amemkaushia hajanuita kwenye baraza la Sasa chuki zikaanzi a hapo, usipotoshwe chunguza...
Lakini mi huwa najiuliza kwani Zanzibar hakuna watanganyika wanao vuna mali za Zanzibar? Ebu tuacheni chuki wakuu, mi nimeishi sana kule enzi hizo kwenye sekta ya ujenzi walioajiriwa kuanzia engineer mpaka vibarua asilimia90 ni wabara asilimia 10 tu ndo wazenji,.
Acheni kuhamasisha chuki wakuu...
Hahahaaaaa, nenda geita ukashangae kijana ana 27, ana miliki gari crown ana nyumba ya zaidi ya milioni 150 thamani, ana maduka matatu, benki kumedamshi, muwe mnatembea nje huko muone vijana walio amua kuishi nje ya dar wanavo make pesa
Huwa ninapambana kwa juhudi nyingi nipate cha kunitosha, kile kinacho ongezeka kinakua ziada alihamdulillah lakini lengo si kutajirika, ikitokea mashaallah, ukipenda sana mali utajikuta unafanya mambo ya ajabu hata kuliwa utamu na wahuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.